Mkuu mie ni naye MTU hapa DRC ,anachezea don bosco ( tp mazembe B ) huyu naweza mlipia mm mwenyewe ,km vipi nikuunganisheSijajua wenzangu huwa munatizama nini katika Soka, Siku Niyonzima anasaini
Msimbazi ilikuwa habari ya mjini na tena ya kuhuzunisha kwa Wanayanga. binafsi
Niyonzima alikuwa mchezaji mzuri lakini wa kawaida sana tofauti na jinsi nilivyoumia
kuondoka kwa SIMON MSUVA.
Niliweka wazi hapa jukwaani kama ni pengo basi lile la kuondokewa na Msuva ndio
Pengo hasa.
Leo hii kibao Kimehamia kwa Chirwa, Yondani, Tshishimbi, Kessy na yule tuliyemkosa
yaani Salamba. Katika hao wote nitaumia sana kama tutamkosa Yondani na Tshitshimbi
lakini wote waliobaki ni wachezaji wa kawaida sana.
Naushauri Uongozi wa Yanga kumsajili mchezaji mmoja kutoka Kagera anaitwa kibaya,
nina imani huyu akitengenezwa vizuri atakuja kuwa hazina kubwa sana kwa Yanga na
Taifa.
Mwisho niseme naendelea kufanya mazungumzo na Wachezaji 5 (watano)
Watatu kutoka mozambique mmoja kutoka Mtwara na mwingine wa Kigoma
ili niweze kuwaleta hapo Jangwani, ni wachezaji ambao nimejiridhisha kuwa
wako vizuri na kama benchi litawakubali basi Yanga itakuja kushangaza sana,
kwani ni wachezaji nafuu lakini Wenye Kiwango.
Gharama zote pindi watakapokuwa kwenye majaribio zitakuwa juu yangu.
NAITAKIA KILA LA HERI TIMU YANGU AMBAYO NI MWAKILISHI WA PEKEE WA
KIMATAIFA ALIYEBAKI KATIKA NCHI YETU............... YANGA DAIMA MBELE
NYUMA MWIKO.
Sawa nikishaongea na uongozi nitakucheki, Ila usimtaje jina maana mikia wanatakaMkuu mie ni naye MTU hapa DRC ,anachezea don bosco ( tp mazembe B ) huyu naweza mlipia mm mwenyewe ,km vipi nikuunganishe
Hapana mkuu nawajua hao,na hv wanagombea 10% ya Tajiri basi vurugu tupuSawa nikishaongea na uongozi nitakucheki, Ila usimtaje jina maana mikia wanataka
Sifa hao hata wakikuona unaongea na MWAIKIMBA wanakuwahi na kumsainisha.
We ni kocha au ndo yale ya kutafuta mchezaji tu kwa vile unalamba10%?Sawa nikishaongea na uongozi nitakucheki, Ila usimtaje jina maana mikia wanataka
Sifa hao hata wakikuona unaongea na MWAIKIMBA wanakuwahi na kumsainisha.
Hao wachezaji nawaleta hapa kwa Gharama zangu, kula kulala na nauliWe ni kocha au ndo yale ya kutafuta mchezaji tu kwa vile unalamba10%?
Njoo na 30,000/= kwenye mkutano mkuu za kuchangia bakuli la usajiliHao wachezaji nawaleta hapa kwa Gharama zangu, kula kulala na nauli
Kama club haitakubaliana nao pia nitawarudisha walikotoka kwa gharama
zangu. Mimi nina nguvu zangu siwezi kutegemea Riziki kwa jasho la watu
wengine.
Sawa mkuu, unawaleta kwa mapendekezo ya kocha?Hao wachezaji nawaleta hapa kwa Gharama zangu, kula kulala na nauli
Kama club haitakubaliana nao pia nitawarudisha walikotoka kwa gharama
zangu. Mimi nina nguvu zangu siwezi kutegemea Riziki kwa jasho la watu
wengine.
Uwe na heshima mkuu, sisi ndio pekee tunaopeperusha Bendera nje ya mipakaWachezaji kutoka Mtwara na Kigoma really? mpaka waje wazoee ligi ni lini? na vp kuhusu mipango iliyopo kuhakikisha shirikisho mnafanya vizuri au wenzetu mmejiandaa kucheza kombe la mbuzi mwakani? Kweli yajayo yanafurahisha!
yanga tulia hawa wang'oa viti walambe magarasa sisi tuchukukue wachapakazi wasio na majinaWe ni kocha au ndo yale ya kutafuta mchezaji tu kwa vile unalamba10%?
Ila ulifurahi Ajibu kuja YangaSijajua wenzangu huwa munatizama nini katika Soka, Siku Niyonzima anasaini
Msimbazi ilikuwa habari ya mjini na tena ya kuhuzunisha kwa Wanayanga. binafsi
Niyonzima alikuwa mchezaji mzuri lakini wa kawaida sana tofauti na jinsi nilivyoumia
kuondoka kwa SIMON MSUVA.
Niliweka wazi hapa jukwaani kama ni pengo basi lile la kuondokewa na Msuva ndio
Pengo hasa.
Leo hii kibao Kimehamia kwa Chirwa, Yondani, Tshishimbi, Kessy na yule tuliyemkosa
yaani Salamba. Katika hao wote nitaumia sana kama tutamkosa Yondani na Tshitshimbi
lakini wote waliobaki ni wachezaji wa kawaida sana.
Naushauri Uongozi wa Yanga kumsajili mchezaji mmoja kutoka Kagera anaitwa kibaya,
nina imani huyu akitengenezwa vizuri atakuja kuwa hazina kubwa sana kwa Yanga na
Taifa.
Mwisho niseme naendelea kufanya mazungumzo na Wachezaji 5 (watano)
Watatu kutoka mozambique mmoja kutoka Mtwara na mwingine wa Kigoma
ili niweze kuwaleta hapo Jangwani, ni wachezaji ambao nimejiridhisha kuwa
wako vizuri na kama benchi litawakubali basi Yanga itakuja kushangaza sana,
kwani ni wachezaji nafuu lakini Wenye Kiwango.
Gharama zote pindi watakapokuwa kwenye majaribio zitakuwa juu yangu.
NAITAKIA KILA LA HERI TIMU YANGU AMBAYO NI MWAKILISHI WA PEKEE WA
KIMATAIFA ALIYEBAKI KATIKA NCHI YETU............... YANGA DAIMA MBELE
NYUMA MWIKO.
Ila ulifurahi Ajibu kuja YangaSijajua wenzangu huwa munatizama nini katika Soka, Siku Niyonzima anasaini
Msimbazi ilikuwa habari ya mjini na tena ya kuhuzunisha kwa Wanayanga. binafsi
Niyonzima alikuwa mchezaji mzuri lakini wa kawaida sana tofauti na jinsi nilivyoumia
kuondoka kwa SIMON MSUVA.
Niliweka wazi hapa jukwaani kama ni pengo basi lile la kuondokewa na Msuva ndio
Pengo hasa.
Leo hii kibao Kimehamia kwa Chirwa, Yondani, Tshishimbi, Kessy na yule tuliyemkosa
yaani Salamba. Katika hao wote nitaumia sana kama tutamkosa Yondani na Tshitshimbi
lakini wote waliobaki ni wachezaji wa kawaida sana.
Naushauri Uongozi wa Yanga kumsajili mchezaji mmoja kutoka Kagera anaitwa kibaya,
nina imani huyu akitengenezwa vizuri atakuja kuwa hazina kubwa sana kwa Yanga na
Taifa.
Mwisho niseme naendelea kufanya mazungumzo na Wachezaji 5 (watano)
Watatu kutoka mozambique mmoja kutoka Mtwara na mwingine wa Kigoma
ili niweze kuwaleta hapo Jangwani, ni wachezaji ambao nimejiridhisha kuwa
wako vizuri na kama benchi litawakubali basi Yanga itakuja kushangaza sana,
kwani ni wachezaji nafuu lakini Wenye Kiwango.
Gharama zote pindi watakapokuwa kwenye majaribio zitakuwa juu yangu.
NAITAKIA KILA LA HERI TIMU YANGU AMBAYO NI MWAKILISHI WA PEKEE WA
KIMATAIFA ALIYEBAKI KATIKA NCHI YETU............... YANGA DAIMA MBELE
NYUMA MWIKO.
Kama mlivyomchukua Ngasayanga tulia hawa wang'oa viti walambe magarasa sisi tuchukukue wachapakazi wasio na majina
mourinho alifanya kosa kama la simba kujaza ma star pale chelsea kilichompata hatosahau alichezea vipigo hadi akakimbiaKama mlivyomchukua Ngasa