Sijaumia kuondoka kwa Niyonzima wala sitaumia kuondoka kwa Chirwa

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,286
Reaction score
6,736
Sijajua wenzangu huwa munatizama nini katika Soka, Siku Niyonzima anasaini
Msimbazi ilikuwa habari ya mjini na tena ya kuhuzunisha kwa Wanayanga. binafsi
Niyonzima alikuwa mchezaji mzuri lakini wa kawaida sana tofauti na jinsi nilivyoumia
kuondoka kwa SIMON MSUVA.

Niliweka wazi hapa jukwaani kama ni pengo basi lile la kuondokewa na Msuva ndio
Pengo hasa.

Leo hii kibao Kimehamia kwa Chirwa, Yondani, Tshishimbi, Kessy na yule tuliyemkosa
yaani Salamba. Katika hao wote nitaumia sana kama tutamkosa Yondani na Tshitshimbi
lakini wote waliobaki ni wachezaji wa kawaida sana.
 
Naushauri Uongozi wa Yanga kumsajili mchezaji mmoja kutoka Kagera anaitwa kibaya,
nina imani huyu akitengenezwa vizuri atakuja kuwa hazina kubwa sana kwa Yanga na
Taifa.

Mwisho niseme naendelea kufanya mazungumzo na Wachezaji 5 (watano)
Watatu kutoka mozambique mmoja kutoka Mtwara na mwingine wa Kigoma
ili niweze kuwaleta hapo Jangwani, ni wachezaji ambao nimejiridhisha kuwa
wako vizuri na kama benchi litawakubali basi Yanga itakuja kushangaza sana,
kwani ni wachezaji nafuu lakini Wenye Kiwango.

Gharama zote pindi watakapokuwa kwenye majaribio zitakuwa juu yangu.

NAITAKIA KILA LA HERI TIMU YANGU AMBAYO NI MWAKILISHI WA PEKEE WA
KIMATAIFA ALIYEBAKI KATIKA NCHI YETU............... YANGA DAIMA MBELE
NYUMA MWIKO.
Mkuu mie ni naye MTU hapa DRC ,anachezea don bosco ( tp mazembe B ) huyu naweza mlipia mm mwenyewe ,km vipi nikuunganishe
 
Sawa nikishaongea na uongozi nitakucheki, Ila usimtaje jina maana mikia wanataka
Sifa hao hata wakikuona unaongea na MWAIKIMBA wanakuwahi na kumsainisha.
 
Hapana mkuu nawajua hao,na hv wanagombea 10% ya Tajiri basi vurugu tupu
 
Sawa nikishaongea na uongozi nitakucheki, Ila usimtaje jina maana mikia wanataka
Sifa hao hata wakikuona unaongea na MWAIKIMBA wanakuwahi na kumsainisha.
We ni kocha au ndo yale ya kutafuta mchezaji tu kwa vile unalamba10%?
 
Hao wachezaji nawaleta hapa kwa Gharama zangu, kula kulala na nauli
Kama club haitakubaliana nao pia nitawarudisha walikotoka kwa gharama
zangu. Mimi nina nguvu zangu siwezi kutegemea Riziki kwa jasho la watu
wengine.
Njoo na 30,000/= kwenye mkutano mkuu za kuchangia bakuli la usajili
 
Wanayanga kama mtaendelea kung'ang'ania uendeshaji wa zamani wa timu basi majonzi na kulalamika havitaisha, mpira wa leo ni pesa, wachezaji wazalendo hakunaga tena karne hii, wanaangalia hela tu, ukifika bei anasaini, kama hela kiduchu anaondoka mchana kweupee
 
Hao wachezaji nawaleta hapa kwa Gharama zangu, kula kulala na nauli
Kama club haitakubaliana nao pia nitawarudisha walikotoka kwa gharama
zangu. Mimi nina nguvu zangu siwezi kutegemea Riziki kwa jasho la watu
wengine.
Sawa mkuu, unawaleta kwa mapendekezo ya kocha?
 
Wachezaji kutoka Mtwara na Kigoma really? mpaka waje wazoee ligi ni lini? na vp kuhusu mipango iliyopo kuhakikisha shirikisho mnafanya vizuri au wenzetu mmejiandaa kucheza kombe la mbuzi mwakani? Kweli yajayo yanafurahisha!
 
Uwe na heshima mkuu, sisi ndio pekee tunaopeperusha Bendera nje ya mipaka
 
VPL imejaa wachezaji wageni kibao ila 5% ndio wanaonyesha uwezo..Nashangaa Yanga wanaangaika... Kibaya,Eliud Ambokile,Dilunga,Ikobelo,Kihimbwa,Peter Mapunda,Kabunda,Dickson Daudi(center half wa Mtibwa),Ndikumana(captain wa mbao)Bigirimana Blaise(stand) na wengine wengi..sio kugobania wachezaji wasio na tija
 
Sijajua wenzangu huwa munatizama nini katika Soka, Siku Niyonzima anasaini
Msimbazi ilikuwa habari ya mjini na tena ya kuhuzunisha kwa Wanayanga. binafsi
Niyonzima alikuwa mchezaji mzuri lakini wa kawaida sana tofauti na jinsi nilivyoumia
kuondoka kwa SIMON MSUVA.

Niliweka wazi hapa jukwaani kama ni pengo basi lile la kuondokewa na Msuva ndio
Pengo hasa.

Leo hii kibao Kimehamia kwa Chirwa, Yondani, Tshishimbi, Kessy na yule tuliyemkosa
yaani Salamba. Katika hao wote nitaumia sana kama tutamkosa Yondani na Tshitshimbi
lakini wote waliobaki ni wachezaji wa kawaida sana.

Naushauri Uongozi wa Yanga kumsajili mchezaji mmoja kutoka Kagera anaitwa kibaya,
nina imani huyu akitengenezwa vizuri atakuja kuwa hazina kubwa sana kwa Yanga na
Taifa.

Mwisho niseme naendelea kufanya mazungumzo na Wachezaji 5 (watano)
Watatu kutoka mozambique mmoja kutoka Mtwara na mwingine wa Kigoma
ili niweze kuwaleta hapo Jangwani, ni wachezaji ambao nimejiridhisha kuwa
wako vizuri na kama benchi litawakubali basi Yanga itakuja kushangaza sana,
kwani ni wachezaji nafuu lakini Wenye Kiwango.

Gharama zote pindi watakapokuwa kwenye majaribio zitakuwa juu yangu.

NAITAKIA KILA LA HERI TIMU YANGU AMBAYO NI MWAKILISHI WA PEKEE WA
KIMATAIFA ALIYEBAKI KATIKA NCHI YETU............... YANGA DAIMA MBELE
NYUMA MWIKO.
Ila ulifurahi Ajibu kuja Yanga
 
Back
Top Bottom