GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,286
- 6,736
Sijajua wenzangu huwa munatizama nini katika Soka, Siku Niyonzima anasaini
Msimbazi ilikuwa habari ya mjini na tena ya kuhuzunisha kwa Wanayanga. binafsi
Niyonzima alikuwa mchezaji mzuri lakini wa kawaida sana tofauti na jinsi nilivyoumia
kuondoka kwa SIMON MSUVA.
Niliweka wazi hapa jukwaani kama ni pengo basi lile la kuondokewa na Msuva ndio
Pengo hasa.
Leo hii kibao Kimehamia kwa Chirwa, Yondani, Tshishimbi, Kessy na yule tuliyemkosa
yaani Salamba. Katika hao wote nitaumia sana kama tutamkosa Yondani na Tshitshimbi
lakini wote waliobaki ni wachezaji wa kawaida sana.