Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

Nunua Harrier ni gari nzuri tu. Ni luxury kuliko Rav4. Hapa ni majadiliano tu. Cha kuzingatiq usiwa mtu wa mambio yasiyo na maana otherwise ni gari nzuri tu. Pia angalia usinunue ile ya cc3000 ukaichukia nunua ya cc2400 2az engine I think.
Mwambie anunue tuu tiguan au x3
 
Aisee gari za mjerumani kuanzia Body yake ni nzito balaa...juzi nimekaa kwenye ka volkwagen Polo...aisee kaone kadogo kwa nje tu...gari ni nzito balaa halafu ukichungulia dashboard sasa....nadhan ni 240 top speed..sjui nani alianzisha mambo ya toyota Bongo, alituharibu sana..
 
Mercides ndo ina body ngumu sana,hata banpa tu ile fiber ni hatari.lazima tukubali building quality 🫡
 
Ni Mercedes sio Mercides mzee! Hebu ipe Benz heshima yake mzee😂😂😂
Huwezi kugonga Benz na tuktuk iitwayo Passo alisikika GK Wasafi Comedy 😂😂
 
Aisee gari za mjerumani kuanzia Body yake ni nzito balaa...juzi nimekaa kwenye ka volkwagen Polo...aisee kaone kadogo kwa nje tu...gari ni nzito balaa halafu ukichungulia dashboard sasa....nadhan ni 240 top speed..sjui nani alianzisha mambo ya toyota Bongo, alituharibu sana..
Haya mambo alianzisha babu yake na Extrovert miaka hiyo....
 
Back
Top Bottom