Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

Engine size kubwa ila output almost sawa na german cars tena zinaweza zidiwa..

Kuna drag race moja niliiona Porsche Cayenne Turbo GT na BMW X6M zinaichakaza Jeep trackhawk. Zote zina engine size ndogo.
Hahahahah hio jtakuwa Jeep SRT sio Trackhawk mzee
 
Kuna video nilikuwa naangalia siku si nyingi youtube. Siku si nyingi.

Bahati mbaya sana ninesahau ni gari gani.

Ilikuwa ni Autobahn na jamaa alikuwa anaswitch lanes barabarani au 300+ Km/h.

Kwenye comment watu walikuwa wanamshangaa. Unadhani ni kwanini?

Kuna gari at 120 tena ukiwa umefunga vioo unafeel kama gari haiendi. Unafeel kama upo 50.

Gari hazifanani kabisa.
hapo dungu E Class hazikosi hapo. Hizi gari unaweza ukawa 100+ ila inavyobembeleza unaweza ukasinzia kabisa, kumbe huku nje raia wanaulizana unakimbilia wapi.
 
Engine size kubwa ila output almost sawa na german cars tena zinaweza zidiwa..

Kuna drag race moja niliiona Porsche Cayenne Turbo GT na BMW X6M zinaichakaza Jeep trackhawk. Zote zina engine size ndogo.
Magari ya USA ni CC kubwa tuu kama train ya diesel lakini hamna kitu. Mpaka trump alilalamika mbona wazungu wa Ulaya wanauza magari yao mengi USA ila magari ya USA hayahuziki Ulaya. Wajerumani wakawajibu tengenezeni magari mazuri
 
huijui gari ya mtoto wa mamvi wewe.
tako la nyani imesimama balaa.
comfortability 100 [emoji817]
balance balaa 100
fuel inakula,ulitaka ile nini?
 
Magari ya USA ni CC kubwa tuu kama train ya diesel lakini hamna kitu. Mpaka trump alilalamika mbona wazungu wa Ulaya wanauza magari yao mengi USA ila magari ya USA hayahuziki Ulaya. Wajerumani wakawajibu tengenezeni magari mazuri
Hata design ni za hovyo sijapata kuona.

Ford kidogo sana wanajitahidi kwa baadhi ya models ila kampuni nyingine ni hovyo.
 
Kuna kitu watu wengi hatuelewi vizuri. Harrier, rav4, subaru forester and the like siyo SUVs zenye uwezo wa SUV. Ili ujue gari yako ni SUV lazima suspension system iwe na uwezo wa kuiweka gari juu hata kama imebeba mzigo katika kiwango chake cha mwisho (maximum cargo).

Harrier, rav4, subaru forester and the like ikibeba maximum cargo gari inashuka chini kiasi cha kuwa na ground clearance sawa na sedan. Hivyo hizo gari mnazoita SUV mnazolingishiana humu ni sedan zenye umbo la SUV.

Pili, SUV lazima iwe na uwezo wa kupita barabara mbovu (rough road) bila ya kuumiza suspension system kama zilivyo Landcruiser, Toyota fortuner, toyota hilux surf and the like.

Hivyo kama unayo harrier hauna tofauti na mwenye sedan kwa habari ya ground clearance na sedan kama bmw, macedes, crown, mark x, audi, lexus zinaweza kuwa na suspension imara kuliko harrier. Suspension za luxury sedan huwa ni multi-link pamoja na double-wishbone ambayo inakufanya usisikie mkito wa gari kwenye tuta, rough road na hata mashimo madogo.

Mimi ninacho ona ni vyema kununua gari unalopenda na siyo kwaajili ya kulingishia wengine.
In short: gari ndogo zenye body kubwa
 
Wewe utakuwa mmiliki wa Crown au ndugu zqke Akina Mark X,Brevis
Mkuu unisaidie na mimi hapo hiyo gari (harrier) ndio nategemea kuagiza mwezi February 2023 baada ya majadiliano na mama chanja kati ya harrier na rav 4 miss Tz. Sasa nimeona huu uzi nimekuwa discouraged. Kwa hiyo niendelee na mchakato wa bora rav 4 Miss Tz? Msaada please. Nitashukuru kama utanieleza kwa kina. Asante mkuu.
 
Nunua Harrier ni gari nzuri tu. Ni luxury kuliko Rav4. Hapa ni majadiliano tu. Cha kuzingatiq usiwa mtu wa mambio yasiyo na maana otherwise ni gari nzuri tu. Pia angalia usinunue ile ya cc3000 ukaichukia nunua ya cc2400 2az engine I think.
 
Back
Top Bottom