Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

Bwana mkubwa,usitukane au kudharau usiowajua. Hapa tunajadili magari tangu mwanzo mpaka ulipokuja wewe hakuna mtu kamtukana au kamdharau mwingine.
Huyu jamaa ni ile aina ya watu limbukeni, yaan n mshamba flani aliyekosa exposure. Kuna uzi mwngne pia naona comment zake zmekaa hv hv kiujuaji juaji & matus matusi. Lakn ukisoma content ya alichokiandika unajua kabisa huyu n bushmen a.k.a wa kuja,,,,,,,, so u just ignore him.
 
Kuna kajamaa juzi kalikuwa na Subaru sijui kafunga na mabomba mengi mengi huko nyuma uwii tulilianzisha kuanzia round about ya kuingia TPA eti kisa nilimpita huko waterfront....mseng€e anaendesha gari kama kalogwa vile ...yaan alinipita kama upepo pale TPA jumapili hiyo hakuna foleni, si nikamkimbiza[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sikumpata!

Tukalipia kivuko, huku ananichungulia dirishani, nikamkimbiza tena, jamani alitoka nduki mjinga yule sikumuona tena hadi nafika round about ya kibada sikuona hata kakatishia wapi[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji2]

Nilicheka sana aseee
Ulimchokoza mwenyewe akaona ngoja akuonyeshe namna ya kukanyaga pedal. Hao wa hivyo usiwekeane nao ligi ni hatari
 
Kuna kajamaa juzi kalikuwa na Subaru sijui kafunga na mabomba mengi mengi huko nyuma uwii tulilianzisha kuanzia round about ya kuingia TPA eti kisa nilimpita huko waterfront....mseng€e anaendesha gari kama kalogwa vile ...yaan alinipita kama upepo pale TPA jumapili hiyo hakuna foleni, si nikamkimbiza[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sikumpata!

Tukalipia kivuko, huku ananichungulia dirishani, nikamkimbiza tena, jamani alitoka nduki mjinga yule sikumuona tena hadi nafika round about ya kibada sikuona hata kakatishia wapi[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji2]

Nilicheka sana aseee
Mm mwenyewe nimechekaaa
Dogo alikuwa hata ujinga kaona manzi ananiachaje

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Subaru ni sports car toyota ni semi luxury na luxury car. Kwahiyo hata seating position zake zipo kisport.
Luxury cars ni Bentley, Rolls Royce, Lamborghini, Maybach, Aston Martin, Ferrari, Pagani, Bugatti.

Semi Luxury cars ni Maserati, Porsche.

Premium cars ni BMW, Mercedes Benz, Audi, Cadillac, Infiniti, Alfa Romeo, Lexus, Lincoln, Jaguar, Land Rover, Acura, Volvo, Polestar.

Semi Premium ni Mini, Volkswagen, Peugot, Subaru, Jeep, Dacia, Alpine, Buick, Tesla, Cupra, Lotus, Abarth.

Mainstream Cars ni Toyota, Fiat, Seat, Citroen, Nissan, Mitsubishi, Dodge, Hyundai, Kia, Suzuki, Ford, Honda, Mazda, Chevrolet, Renault, GMC.

Low Cost Cars ni Lada, Mahindra, Tata, Datsun, Daihatsu.
 
Kuna kitu watu wengi hatuelewi vizuri. Harrier, rav4, subaru forester and the like siyo SUVs zenye uwezo wa SUV. Ili ujue gari yako ni SUV lazima suspension system iwe na uwezo wa kuiweka gari juu hata kama imebeba mzigo katika kiwango chake cha mwisho (maximum cargo).

Harrier, rav4, subaru forester and the like ikibeba maximum cargo gari inashuka chini kiasi cha kuwa na ground clearance sawa na sedan. Hivyo hizo gari mnazoita SUV mnazolingishiana humu ni sedan zenye umbo la SUV.

Pili, SUV lazima iwe na uwezo wa kupita barabara mbovu (rough road) bila ya kuumiza suspension system kama zilivyo Landcruiser, Toyota fortuner, toyota hilux surf and the like.

Hivyo kama unayo harrier hauna tofauti na mwenye sedan kwa habari ya ground clearance na sedan kama bmw, macedes, crown, mark x, audi, lexus zinaweza kuwa na suspension imara kuliko harrier. Suspension za luxury sedan huwa ni multi-link pamoja na double-wishbone ambayo inakufanya usisikie mkito wa gari kwenye tuta, rough road na hata mashimo madogo.

Mimi ninacho ona ni vyema kununua gari unalopenda na siyo kwaajili ya kulingishia wengine.
 
Hjzo ni Crossover SUV's
 
Back
Top Bottom