JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Huyu ni mjapani ila mwenye standard ya wazungu.Huko mbali, mrushie corolla altis tu ina top speed 240km/h na comfo yake ataenda kusimulia... halafu bei kitonga kwa mjeru huo utamu kuupata inabidi ujipange..
![]()
![]()
![]()
![]()
Mostly ikizingua gearbox kuna chance ya kuvisha gearbox ya kijapani...
Mfano, kuna RX330 nyingi sana humu road ambazo zilizingua gearbox mtu akaamua kuvua engine na gearbox(1mz engine na u151 gearbox) akavisha vya harrier(2az engine na u141e gearbox).