Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

Uongo uliotukuka! Tafta Lexus hata GS tu ya 2013, kisha rudi usome hiki ulichoandika.
Huko mbali, mrushie corolla altis tu ina top speed 240km/h na comfo yake ataenda kusimulia... halafu bei kitonga kwa mjeru huo utamu kuupata inabidi ujipange..
BM944565_21f3e3.jpg

BM944565_b7418f.jpg

BM944565_3e25c1.jpg

BM944565_ba65ad.jpg
 
Pisi kali huwa zinaamini SUV zina kila kitu hadi mbio mpaka pale mwamba ninapoinyosha Prado 150 au V8 bwege ndio heshima inarudi
Hahahaha V8 bwege labda 100 series zile au 200 series zenye limit ya 180kph 🤣🤣🤣! Moto wa 300 series usiuguse
 
Rav 4 unayoita ya mchongo ndio SUV maarudu zaidi Duniani zaidi ya LC.

Imevunja rekodi ya mauzo ya SUV zote Amerika na Ulaya.

Sasa sijui huo umchongo unaousema unatoka wapi.
View attachment 2453944
Tatizo humu ndani watu mnaongozwa na hisia na matamanio yenu kuliko uhalisia.
Mkuu usimuamshe alie lala acha tuone ushamba wao uko wapi we tulia usiwaonyeshe kabisa vitu kama hivi ni adimu mshamba haambiwi kaka anaongea hivo hata linkall hana kaka nakusihi usiwaonyeshe ushamba wao ulipo
 
Bwana mkubwa,usitukane au kudharau usiowajua. Hapa tunajadili magari tangu mwanzo mpaka ulipokuja wewe hakuna mtu kamtukana au kamdharau mwingine.
 
Pisi kali huwa zinaamini SUV zina kila kitu hadi mbio mpaka pale mwamba ninapoinyosha Prado 150 au V8 bwege ndio heshima inarudi
Gari za chini shida kubwa ni miundombinu yetu tu.

Kuna sehemu unafika unatamani kugeuza au kuna matuta ukikutana nayo unaanza kazi ya kuchekecha gari uweze kupita.

Ila kwa SUV au baadhi ya crossovers unapita bila mawazo.
 
V8 ni aina ya injini ambapo zipo gari kibao zenye injini hizo sasa kua specific ni gari zipi ila injini tushajua na zipo hadi v12 kwahyo hyo v8 yako ikasome
Engine size haimaanishi gari inatoa output kubwa.

V8 inaweza zidiwa output na 4 cylinders au V6 au inline 6. V12 inaweza zidiwa output na V6.
 
Huko mbali, mrushie corolla altis tu ina top speed 240km/h na comfo yake ataenda kusimulia... halafu bei kitonga kwa mjeru huo utamu kuupata inabidi ujipange..
BM944565_21f3e3.jpg

BM944565_b7418f.jpg

BM944565_3e25c1.jpg

BM944565_ba65ad.jpg

Gari ya 2012 ushuru wake ukoje mkuu?

Sijawahi kuiona bongo hii

Naona ina jiko dogo tu 1.6L

Nazani mrithi bora wa premio kwa vijana[emoji91]
 
Back
Top Bottom