CIA mgumu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2022
- 962
- 1,934
Ndio maana nasema nitajichanga kidogokidogo hadi nifike lengo ikiwezekana hata 0 Mungu akipendaHapa tupo pamoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana nasema nitajichanga kidogokidogo hadi nifike lengo ikiwezekana hata 0 Mungu akipendaHapa tupo pamoja
Siku kuiendesha Mjerumani hutotamani kuendesha mjapan wowote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukiendesha hizo gari hapo mkuu hutamani kuendesha gari zingine ndefu aisee
Wewe haujawahi endesha Mjerumani SUV. Mjapani anakaa kila sehemuUsipende kulinganisha V8 na takataka mkuu.
Umeongea ukweli.. Tanzania kwa usalama wako na watumiaji wengine wa barabara haitakuwa uzidishe 80 nje ya mji na Dar hutakiwi uzidi 60Haijalishi ni gari gani unaendesha, ukiwa 120 lazima uwe makini, specially kwa barabara za kwetu Tanzania. Ndio maana speed limits barabarani ziko kwa magari yote.
Wazungu wanakiri Lexus Ls ipo smooth na comfortable kuliko 7 series bmw, sasa ingia ndani ya LS uendeshe halafu ingia kwenye zile thri sirizi zetu ndipo utajua ulicho comment si sahihi.Siku kuiendesha Mjerumani hutotamani kuendesha mjapan wowote
Hahahah inatembea sana eehAcha kabisaa mkuu niliazimwa siku moja dar to Iringa looh nilihisi nipo peponi
Premio ya 1.8L ingemkalisha huyo pimbi wa CVT labda kama ilikuwa engine ndogoJana nimeshuhudia ligi road, premio anafukuzana na dualis ilikua hatari
Atakuja na lawama hapa tu ajipange kifwezaHii ni gari nzuri ila inabidi uwe na hela. Pia jitahidi ununue yenye low mileage na miaka ya karibuni. Sio unanunua ya 2009 100,000miles utatukana magari ya watu.
Very comfortable. Ndio maana Kuna watu huwaambii kitu.Hahahah inatembea sana eeh
Sasa 3series na LS mkuu....Wazungu wanakiri Lexus Ls ipo smooth na comfortable kuliko 7 series bmw, sasa ingia ndani ya LS uendeshe halafu ingia kwenye zile thri sirizi zetu ndipo utajua ulicho comment si sahihi.
Mkuu taratibu basiUmeongea ukweli.. Tanzania kwa usalama wako na watumiaji wengine wa barabara haitakuwa uzidishe 80 nje ya mji na Dar hutakiwi uzidi 60
Kuna mwanangu chizi magari aliwahi kwenda nayo south africa toka chuga. Aliisifia sana yani japo naye ni mtu wa Toyopet kwa sana. Anapenda sana sedan Crown/Mark X/Brevis ndio gari zake.Very comfortable. Ndio maana Kuna watu huwaambii kitu.
Tutamuelekeza maduka ya spare yalipo. Air suspension front set 2mHuyu dogo wa moto sana hata ya 2006 atabeba tu🤣🤣
Ukipata isio na headache hutatamani kitu kingine. Iwe 3.0sdv6 amazingKuna mwanangu chizi magari aliwahi kwenda nayo south africa toka chuga. Aliisifia sana yani japo naye ni mtu wa Toyopet kwa sana. Anapenda sana sedan Crown/Mark X/Brevis ndio gari zake.
Akina Saba general si bado wapo mkuu?🤣🤣Tutamuelekeza maduka ya spare yalipo. Air suspension front set 2m
Sedan acha mkuu, juzi nimekuta vanguard na Harrier wanasumbua nikawapita kwemye kona moja nadhani hawakuamini walichokiona, na nilisubri kwemye hizo kona ili wasinicheleweshe.Kuna mwanangu chizi magari aliwahi kwenda nayo south africa toka chuga. Aliisifia sana yani japo naye ni mtu wa Toyopet kwa sana. Anapenda sana sedan Crown/Mark X/Brevis ndio gari zake.
Hao hawana hizi. Wenye hizi tubajuana.Akina Saba general si bado wapo mkuu?🤣🤣
Huyu wa premio alikua amemtangulia mwenzake hii barabara ya moro-dar jioni ilikua kidogo watupane kwenye mitaro. Sijui hua wanapata flavor gani kuwekeana ligi barabarani vijanaPremio ya 1.8L ingemkalisha huyo pimbi wa CVT labda kama ilikuwa engine ndogo