Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

Siku za usoni zitalipa sana dogo.
Au ukiuza ubadili tu na kitu ya maana sio gari
Eneo moja pale karibu na shule ya vipofu njia panda Chamwino huko ndio nitaweka frem au apartment kadhaa hivi ila kwingine napiga mnada nisijeporwa na wahuni wa kijani aisee maana tayari moja liliponea chupu chupu isingekuwa mzee wa kazi chafu ningekoma
 
Wewe uza tu hata ukitumia kuoa mtoto mweupe wa kinyaturuu ni wewe tu baba๐Ÿคฃ
 
Suv ina advantage gani zaidi ya ground clearance? Hizi suv za mchongo harrier,rav4 msiziweke kwenye proper suv akina lc. Hizi kwenye barabarani korofi kidogo tu hazitoboi kama sedan tu.
Advantage nyngne ya suv n kwamba wakat unaingia kwny gari Unainua mguu juu yaan unainuka hv juu. Lakn hz sedan akina crown athlete na wenzake ukiwa unaingia kwny gari, unainamisha mgongo na shngo kama vile nyoka anatafuta pango lake[emoji3]
 
Rav 4 unayoita ya mchongo ndio SUV maarudu zaidi Duniani zaidi ya LC.

Imevunja rekodi ya mauzo ya SUV zote Amerika na Ulaya.

Sasa sijui huo umchongo unaousema unatoka wapi.
View attachment 2453944
Tatizo humu ndani watu mnaongozwa na hisia na matamanio yenu kuliko uhalisia.
Rav 4 ana edition/models nyng sana mpaka nyngne huwez jua hii gar n rav 4 mpaka uisome pale nyuma.
 
Hii ni gari nzuri ila inabidi uwe na hela. Pia jitahidi ununue yenye low mileage na miaka ya karibuni. Sio unanunua ya 2009 100,000miles utatukana magari ya watu.
Huyu dogo wa moto sana hata ya 2006 atabeba tu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Huyu dogo wa moto sana hata ya 2006 atabeba tu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Aaah wee nilishapeleleza sana kuhusu hii gari hivyo siwezi nunua lilopitwa na mda sana mkuu ila ukweli naipenda
20221228_101256.jpg
 
Back
Top Bottom