Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

Sedan acha mkuu, juzi nimekuta vanguard na Harrier wanasumbua nikawapita kwemye kona moja nadhani hawakuamini walichokiona, na nilisubri kwemye hizo kona ili wasinicheleweshe.
Hahahahahah kwenye kona lazima wanyunyuzie 🤣 wakikuiga wameisha
 
Sedan acha mkuu, juzi nimekuta vanguard na Harrier wanasumbua nikawapita kwemye kona moja nadhani hawakuamini walichokiona, na nilisubri kwemye hizo kona ili wasinicheleweshe.
Mie kuna siku nimepitwa na BMW X3 aisee jamaa alipita kama kishada shaaaa!![emoji1787][emoji1787] Nikasema what? Hapo niko 100km/H tena ni kwenye ile miteremko ya Kitonga mbele mbele huko nikajisemea acha aende tu safari ni safari [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna watu machizi unawaacha waende tu
 
Back
Top Bottom