Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani



Hiyo hapo.... Yaani walitest Dodge Ram, Ford Ranger, na VW Amarok tena kwa speed kubwa kuliko waliyotumia kwenye Hilux lakini lakini zikaperform vizuri....,

Hizi tests wenzetu wanaziconsider sana. Maana ndio zinatuambia resistance ya gari dhidi ya rollover,

Hata rav 4 imefanya vibaya sana kwenye hizi tests.

Jamaa kasikitika sana
 
1. Gari ni nyepesi (sio kwa uzito) ni nyepesi inachomoka sana. Hilo librevis lako linachukua muda kuchanganya.
Hamna gari ya mbio nyepesi mkuu. Na kama ikiwa nyepesi inakuwa na ground clearance ndogo.
2. Gari iko juu sio kwamba haina balance umezoea vigari vya chini kwa hiyo hii unajiona kama uko juu ya mti
emoji38.png
emoji38.png
. Hata ukiendesha Range Rover utalalamika hivihivi. Hakuna kesi nyingi za Harrier kupinduka.
Range Rover ni nzito halafu unaweza kuadjust riding height. Unlike harrier.

3. Comfortability ya gari kubwa huwezi kulinganisha na hiyo brevis yako. Watu wana akili zaidi yako ndio maana Harrier inauzwa Mil 38 na Brevia Mil 15. Hiyo tofauti kubwa ya bei ni pamoja na comfort utakayoipata kwenye Harrier.
Difference ya bei nadhani ni demand tu kubwa ya harrier sokoni. Ni kama tofauti ya bei ya IST na gari zingine ambazo wako segment moja. Pia gari za direct injection hazina bei sana sokoni kama gari ambazo siyo direct injection.
 
Nimepata elimu kutoka kwa wenye experience zao na magari, wengine magari tunanunua tu kwa hisia...mambo ya ndani ndani huko watu hawajisumbui...

Wenye IST zetu ngoja tuendelee kufuatilia kwa karibu
 
Njoo nikuonjeshe ladha ya mjerumani yupo chini ndio ujue kwanini nataka nikachumbie Maghojoa😁😁😁😁
Kwa umri huu huwezi nifundisha chochote we dogo.
Vya chini niliendesha kabla yako...nilipohamia juu chini sitaki.
Ukaoe umche Mungu uache uasherati😂
 
Back
Top Bottom