RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Sasa huo mstari wa mwisho kama umeiua.Forester ni kitu ingine bro!
Hii gri nmenunua sasa ni toleao la tatu, SF, SG, na SH models.
Zote ni bomba kwa maneuverability, comfort na take off speed.
Sijawahi kusikitika kwa hii gari hata kwa safari za masafa marefu.
Tatizo lake tu ni kuwa ziko very light.