Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Na mimi nakuambia hili.
Mnaweza kuwa kwenye speed kubwa halafu sawa, madereva wawili, mmoja akakwepa shimo akala mzinga, mwingine akakwepa shimo na akaendelea na safari.
Uzito wa gari, ground clearance, Suspension na mengine mengi yanachangia. Usikariri.
Try comprehension my guy, I'm losing hair over here. Sifa kuu ya udereva ni umakini. Umakini wa kujitambua mazingira, nyakati, na aina ya chombo. Barabara huijui, ila unaenda kwa spidi ni kukosa umakini.
Again, sijalinganisha magari popote pale.