Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

3. Haikupi comfortability nzuri ukilinganisha hata na Brevis...Yaani ukiwa kwenye Brevenga au Crown unasikia raha zaidi ya Harrier.
Hizi ni gari nzuri sana kwa long and distance drive, tatizo tunalopata ni matuta waliyoweka barabarani hayakuzingatia uwepo wa magari kama haya
 
haa ha ha hua naona kama kuingia nadumbukia kwenye ka shimo. Alafu magoti na mgongo vinajikunja nadhani kwa watu warefu gari ndogo ni adhabu.

Yanh nakua kama nimejificha chini ya meza
Labda corolla na wenzie. Zipo gari za chini nyingi tu zina legroom ya kutosha. Kama alivyosema mdau hapo zingekuwa mateso diplomats na vips duniani wasingetumia.
 
Ha ha ha kuna video kama hii ya pick up trucks. Hilux ilikuwa kituko

Hiyo hapo.... Yaani walitest Dodge Ram, Ford Ranger, na VW Amarok tena kwa speed kubwa kuliko waliyotumia kwenye Hilux lakini lakini zikaperform vizuri....,

Hizi tests wenzetu wanaziconsider sana. Maana ndio zinatuambia resistance ya gari dhidi ya rollover,

Hata rav 4 imefanya vibaya sana kwenye hizi tests.
 
Ngoja Extrovert aje
 
5. Bei Yake nadhani ilipanda kutokana na demand ya watu sababu ya kuigana ila ni gari ya kawaida sana....i would rather go for a cheaper Subaru forester XT than Harrier.
Forester ni kitu ingine bro!
Hii gari nimenunua na sasa ni toleo la tatu, SF, SG, na SH models.
Zote ni bomba kwa maneuverability, comfort na take off speed.
Sijawahi kusikitika kwa hii gari hata kwa safari za masafa marefu.
Tatizo lake tu ni kuwa ziko very light.
 
Back
Top Bottom