Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

Vuta hybrid mkuu, uwe wa kipekee.
20200617_01_06_s.jpg
 
Haijalishi ni gari gani unaendesha, ukiwa 120 lazima uwe makini, specially kwa barabara za kwetu Tanzania. Ndio maana speed limits barabarani ziko kwa magari yote.
Umeongea ukweli.. Tanzania kwa usalama wako na watumiaji wengine wa barabara haitakuwa uzidishe 80 nje ya mji na Dar hutakiwi uzidi 60
 
Very comfortable. Ndio maana Kuna watu huwaambii kitu.
Kuna mwanangu chizi magari aliwahi kwenda nayo south africa toka chuga. Aliisifia sana yani japo naye ni mtu wa Toyopet kwa sana. Anapenda sana sedan Crown/Mark X/Brevis ndio gari zake.
 
Kuna mwanangu chizi magari aliwahi kwenda nayo south africa toka chuga. Aliisifia sana yani japo naye ni mtu wa Toyopet kwa sana. Anapenda sana sedan Crown/Mark X/Brevis ndio gari zake.
Sedan acha mkuu, juzi nimekuta vanguard na Harrier wanasumbua nikawapita kwemye kona moja nadhani hawakuamini walichokiona, na nilisubri kwemye hizo kona ili wasinicheleweshe.
 
Back
Top Bottom