Mwambie anunue tuu tiguan au x3Nunua Harrier ni gari nzuri tu. Ni luxury kuliko Rav4. Hapa ni majadiliano tu. Cha kuzingatiq usiwa mtu wa mambio yasiyo na maana otherwise ni gari nzuri tu. Pia angalia usinunue ile ya cc3000 ukaichukia nunua ya cc2400 2az engine I think.
Nunua VW tiguan weweNashukuru mkuu.
Mkuu niwe mkweli tu sijawahi kuendesha gari zaidi ya toyota. Kwa hivyo nakuwa na woga wa repair na bei ya spear kwa european cars.Nunua VW tiguan wewe
Huko kwa wazoefu.Mwambie anunue tuu tiguan au x3
Kwa kweli wazoefu na wanaojua magari ndio zinawafaa european cars.Huko kwa wazoefu.
Tatizo BMw bei spairBadala ya kununua harrier na ukiwa speed ikakumaliza tafuta discover 3 kwa bei hiyohiyo unapata na pia Kuna bmw X5 na X5 zote Zina ubora kuzidi harrier
Umesema ukweli kabisa noah barabarani ni balaaNimewahi Kuendesha Toyota RAV4 na Noah, ukichochea moto unahisi kabisa kari inataka kupaa au tairi zina degedege.
Bado naziendesha izo Toyota ila sio kwa speed kubwa, High Speed is only for Crown, Mark X and the like.
Pole sana Harrier banaNdio mana ilitupa ajari ambayo mpaka leo sielewi chanzo chake nachoshukuru sikuwaza kurogwa
Kalinganisha Lexus ya 2020 vs BMW ya 2010 so Hakuna usawa hapoKipigo kiko pale pale π€£π€£π€£
Aisee gari za mjerumani kuanzia Body yake ni nzito balaa...juzi nimekaa kwenye ka volkwagen Polo...aisee kaone kadogo kwa nje tu...gari ni nzito balaa halafu ukichungulia dashboard sasa....nadhan ni 240 top speed..sjui nani alianzisha mambo ya toyota Bongo, alituharibu sana..
Ni Mercedes sio Mercides mzee! Hebu ipe Benz heshima yake mzeeπππMercides ndo ina body ngumu sana,hata banpa tu ile fiber ni hatari.lazima tukubali building quality π«‘
Gari ina take off nzuri sana ila mwisho wa siku imeishika mkia kwenye lap zote.Mnaziamini sana American Cars.
Niambie kama hiyo ni SRT au ni nini?
Haya mambo alianzisha babu yake na Extrovert miaka hiyo....Aisee gari za mjerumani kuanzia Body yake ni nzito balaa...juzi nimekaa kwenye ka volkwagen Polo...aisee kaone kadogo kwa nje tu...gari ni nzito balaa halafu ukichungulia dashboard sasa....nadhan ni 240 top speed..sjui nani alianzisha mambo ya toyota Bongo, alituharibu sana..
Mahaba hayaaAisee gari za mjerumani kuanzia Body yake ni nzito balaa...juzi nimekaa kwenye ka volkwagen Polo...aisee kaone kadogo kwa nje tu...gari ni nzito balaa halafu ukichungulia dashboard sasa....nadhan ni 240 top speed..sjui nani alianzisha mambo ya toyota Bongo, alituharibu sana..
Yaani wana JF Mia 300 wanaochangia hapa..unaita JF yote..unajua Jf ina watu wangapi..?Duh ghafla Wana JF wote Sasa wanaendesha BMW X5,X3,X6,M3,M5,Audi RS6,Benz GLE,S-Series etc
Hii ndio JF bana.
Hajui analo liongea achana naeYaani wana JF Mia 300 wanaochangia hapa..unaita JF yote..unajua Jf ina watu wangapi..?
ππ Shuzi limepata mjambaji naona.Hajui analo liongea achana nae