Bongo lala na mawazo mgando ya TOYOTA, XT unaweza tumia petrol ya kituo chochote.Hizo changamoto ulizoorodhesha ndio zinazopelekea Toyota kupendwa, mtu yupo nanyamba hiyo total, sijui oil ya 5w-30 unazitoa wapi
Ya mkosajiGari inaweza kuwa SUV na ikawa luxurious pia mkuu mfano LX570 and the likes. Tatizo la Harrier ni kwamba sio proper SUV(ni crossover), sio luxurious, haina performance, sio fuel economical, haina balance barabarani, haina mwonekano mzuri ‘kihivo’ n.k . Harrier ni kwa watu wafuata mkumbo otherwise ni gari average sana na haikupi value for your money
Hakuna kitu kama hicho. Umekariri. Maneno ya mkosaji. Endelea kuendesha visaloon vyakoHarrier ni kweli ukifika kuanzia speed 120 inakubidi kuongeza umakini na kutoa macho sana barabarani yaani haitaki kukwepa shimo hapo au kulala konani. Shock ups ni kila muda koo kooo kooo haina luxury yoyote ile.
Kweli kabisa. Utaendeshaje kuku ?kote uko sahihi hasa kwenye stability tako la nyani ni nyepesi sana, ila umekosea kuilinganisha na Bravis na Crown. Come on dude unalinganishaje SUV na Salon cars ?! Mimi sio mpenzi wa tako la nyani ila sivipendi hivyo vidude sijui Crown, Mark X, Bravis yani hivyo nikiendesha naisi niko na IST ha haa ha mtu ukishakua addicted na maSUV hautamani kabisa hivyo viberiti
Siwezi kuendesha kuku miehaa ha ha hua naona kama kuingia nadumbukia kwenye ka shimo. Alafu magoti na mgongo vinajikunja nadhani kwa watu warefu gari ndogo ni adhabu.
Yanh nakua kama nimejificha chini ya meza
ni gari gani ya kijapani ya bei rahisi isiyokuwa sare sare maua?Mi huo usare sare maua mjini ndo nimetokea kuyachukia[emoji57]
Unaposema saloon cars unamaanisha S Class, BMW 7 series n.k ndio unatak kulinganisha na hizo SUV zako za mchongo sio? Saloon cars ndio most luxurious cars duniani ndio maana Lambo, McLaren, Bentley n.k zote ni saloon cars. Acha ushamba wa kizamani ndg yanguYaani niendeshe saloon car niache Suv ! Kweli umaskini kitu kibaya
So tukubaliane Harrier tako la nyani ipo kwenye kapu la cheap cars sio?ni gari gani ya kijapani ya bei rahisi isiyokuwa sare sare maua?
Siyo lazima iwe hivyo, lakini kwa wastani gari nyingi za kijapani bei ziko chini kuliko za ulayaSo tukubaliane Harrier tako la nyani ipo kwenye kapu la cheap cars sio?
Akikujibu hapa nitagUnaposema saloon cars unamaanisha S Class, BMW 7 series n.k ndio unatak kulinganisha na hizo SUV zako za mchongo sio? Saloon cars ndio most luxurious cars duniani ndio maana Lambo, McLaren, Bentley n.k zote ni saloon cars. Acha ushamba wa kizamani ndg yangu
Kwahio unaamini watu wanaendesha saloon cars kwasababu ni masikini hawawezi kununua tako la nyani? Kukosa exposure ni mbaya kuliko umaskini.Yaani niendeshe saloon car niache Suv ! Kweli umaskini kitu kibaya
Huyo jamaa ni mpum bav sana. Anasema watu wanaoendesha saloon cars ni maskini wakati most expensive cars duniani karibu zote ni saloon cars😅😅Kwahio unaamini watu wanaendesha saloon cars kwasababu ni masikini hawawezi kununua tako la nyani? Kukosa exposure ni mbaya kuliko umaskini.
Ushamba mzigo mkubwa, kwake ligari lenye umbo kuubwa ndo lenye thamani kubwaHuyo jamaa ni mpum bav sana. Anasema watu wanaoendesha saloon cars ni maskini wakati most expensive cars duniani karibu zote ni saloon cars[emoji28][emoji28]
Ila kibongo bongo ukiwa na hela unavuta tu chuma ambayo itakuoffer vtu vingi na kwenye kila barabara unapeta..Huyo jamaa ni mpum bav sana. Anasema watu wanaoendesha saloon cars ni maskini wakati most expensive cars duniani karibu zote ni saloon cars😅😅
KWa mtazamo hajakosea maana kibongo bongo gari nyingi zilizopo zenye thamani kubwa ni SUV ..ie: Prado new models, Audi Q7,Ushamba mzigo mkubwa, kwake ligari lenye umbo kuubwa ndo lenye thamani kubwa
Barabara zenyewe za Bongo nje kidogo ya miji ni mbovu ! Kwa nini nihangaike na saloon car kwa barabara hizi ? Huko majuu wenzetu barabara zao ni nzuri hata nje ya miji. Kwa hiyo kwa nchi zetu suv ni gari ya maana kuliko saloon.KWa mtazamo hajakosea maana kibongo bongo gari nyingi zilizopo zenye thamani kubwa ni SUV ..ie: Prado new models, Audi Q7,
Yes upo sahihi kabisa chiefBarabara zenyewe za Bongo nje kidogo ya miji ni mbovu ! Kwa nini nihangaike na saloon car kwa barabara hizi ? Huko majuu wenzetu barabara zao ni nzuri hata nje ya miji. Kwa hiyo kwa nchi zetu suv ni gari ya maana kuliko saloon.