Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

Gari inaweza kuwa SUV na ikawa luxurious pia mkuu mfano LX570 and the likes. Tatizo la Harrier ni kwamba sio proper SUV(ni crossover), sio luxurious, haina performance, sio fuel economical, haina balance barabarani, haina mwonekano mzuri ‘kihivo’ n.k . Harrier ni kwa watu wafuata mkumbo otherwise ni gari average sana na haikupi value for your money
Ya mkosaji
 
Harrier ni kweli ukifika kuanzia speed 120 inakubidi kuongeza umakini na kutoa macho sana barabarani yaani haitaki kukwepa shimo hapo au kulala konani. Shock ups ni kila muda koo kooo kooo haina luxury yoyote ile.
Hakuna kitu kama hicho. Umekariri. Maneno ya mkosaji. Endelea kuendesha visaloon vyako
 
kote uko sahihi hasa kwenye stability tako la nyani ni nyepesi sana, ila umekosea kuilinganisha na Bravis na Crown. Come on dude unalinganishaje SUV na Salon cars ?! Mimi sio mpenzi wa tako la nyani ila sivipendi hivyo vidude sijui Crown, Mark X, Bravis yani hivyo nikiendesha naisi niko na IST ha haa ha mtu ukishakua addicted na maSUV hautamani kabisa hivyo viberiti
Kweli kabisa. Utaendeshaje kuku ?
 
Yaani niendeshe saloon car niache Suv ! Kweli umaskini kitu kibaya
Unaposema saloon cars unamaanisha S Class, BMW 7 series n.k ndio unatak kulinganisha na hizo SUV zako za mchongo sio? Saloon cars ndio most luxurious cars duniani ndio maana Lambo, McLaren, Bentley n.k zote ni saloon cars. Acha ushamba wa kizamani ndg yangu
 
Akikujibu hapa nitag
 
Huyo jamaa ni mpum bav sana. Anasema watu wanaoendesha saloon cars ni maskini wakati most expensive cars duniani karibu zote ni saloon cars[emoji28][emoji28]
Ushamba mzigo mkubwa, kwake ligari lenye umbo kuubwa ndo lenye thamani kubwa
 
Huyo jamaa ni mpum bav sana. Anasema watu wanaoendesha saloon cars ni maskini wakati most expensive cars duniani karibu zote ni saloon cars😅😅
Ila kibongo bongo ukiwa na hela unavuta tu chuma ambayo itakuoffer vtu vingi na kwenye kila barabara unapeta..
Unavuta zako disco 4 unatulia
 
Ushamba mzigo mkubwa, kwake ligari lenye umbo kuubwa ndo lenye thamani kubwa
KWa mtazamo hajakosea maana kibongo bongo gari nyingi zilizopo zenye thamani kubwa ni SUV ..ie: Prado new models, Audi Q7,
 
KWa mtazamo hajakosea maana kibongo bongo gari nyingi zilizopo zenye thamani kubwa ni SUV ..ie: Prado new models, Audi Q7,
Barabara zenyewe za Bongo nje kidogo ya miji ni mbovu ! Kwa nini nihangaike na saloon car kwa barabara hizi ? Huko majuu wenzetu barabara zao ni nzuri hata nje ya miji. Kwa hiyo kwa nchi zetu suv ni gari ya maana kuliko saloon.
 
Back
Top Bottom