Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

Kinachoipa chati ni ule ujuujuu wake otherwise haina cha ajabu,sijui labda kwa hizi za kuanzia 2018...

Kinachoipa chati ni ule ujuujuu wake otherwise haina cha ajabu,sijui labda kwa hizi za kuanzia 2018...
Harrier premium advance zimeanza Toka 2014 Hadi 2022 .
Hizi ni hybrid system ziko advanced Sana tofauti na Tako la nyani ingawa ukubwa wa engine ni uleule
 
kote uko sahihi hasa kwenye stability tako la nyani ni nyepesi sana, ila umekosea kuilinganisha na Bravis na Crown. Come on dude unalinganishaje SUV na Salon cars ?! Mimi sio mpenzi wa tako la nyani ila sivipendi hivyo vidude sijui Crown, Mark X, Bravis yani hivyo nikiendesha naisi niko na IST ha haa ha mtu ukishakua addicted na maSUV hautamani kabisa hivyo viberiti
 
Gari yao pendwa wilayani chunya haiko sawa barabarani labda mijini kwa safari siyo salama
 
Arguments nyingine zimekaa ki-sisiemu tu. Ni gari gani ukiwa speed 120 haiihitaji umakini wa hali ya juu?

Pili, dereva timamu hawezi kuingia kichwa kichwa kwenye kona kali, haijalishi aina ya gari analoendesha.

Tatu na la msingi, gari uliyoendesha imeshapitia mikononi mwa watu.
 
Sio za ki Sisiemu mkuu[emoji3]
 
Mkuu ni normal concept ya physics kwenye gravitational force. Gari ikiwa chini inakua na balance stability kubwa kuliko iliyoko juu.

Ila advantage za SUV ni nyingi kuliko Sedan/Salon Cars hivyo nunua tu SUV.
Mwanzo umeeleza vizuri sana kwa gari zilizo chini na faida zake pia umetoa, tatizo limekuja kwa SUV kwanini hujaweka hizo faida?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…