Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Mahusiano yote niliyoyavunja ni either tumeshindwana tabia, hisia zimekata or sioni future na huyo mtu.
Huwa nawaambia tu kwenye mazungumzo kama utani na baada ya hapo nasitisha mawasliano au nahama kabisa.
Mimi sipendi confrontations (magomvi) na toka nimeujua ulimwengu wa mapenzi sijawahi kuachwa.
Sijui mtu akikatisha mahusiano, upande wa aliyeachwa huwa inafeel vipi.
Vipi wewe mahusiano yako yaliyovunjika yaliishaje?