Sijawahi kuachana na mtu kwa vita au ugomvi, mliachanaje na ex wako wa mwisho?

Sio sifa nzuri wala kitu cha kujivunia. Labda kwa malaya
giphy.gif
 
Safi sana, wakati mwingine hakuna haja ya kugombana maana hakuna kitu ugomvi unaweza kubadili.
Sista unajua wanaume SI wagomvi ILA kinacho uma tunajinyima tunafanya KAZI NGUMU alafu unagundua mwenzako anazingua. Nikaona HII kesi HII mi mwenyewe SINA hata mtoto BADO najitafuta nikaachana NAE kiamani TU. NASHUKUR SASA nmeka SAWA.
 
Mahusiano yote niliyoyavunja ni either tumeshindwana tabia, hisia zimekata or sioni future na huyo mtu.
Huwa nawaambia tu kwenye mazungumzo kama utani na baada ya hapo nasitisha mawasliano au nahama kabisa.

Mimi sipendi confrontations (magomvi) na toka nimeujua ulimwengu wa mapenzi sijawahi kuachwa.
Sijui mtu akikatisha mahusiano, upande wa aliyeachwa huwa inafeel vipi.

Vipi wewe mahusiano yako yaliyovunjika yaliishaje?
Nilimwambia tusitishe haya mahusiano kwasababu ya mabadiliko niliyoyaona kwake na tabia zake niliona kabisa tusingefika mbali, alikuwa mwelewa kakubali na hadi leo hajanisumbua, namuombea Mungu ampe mwanamke mvumilivu na mwenye upendo wa dhati kama mimi😎
 
Ulifanya jambo la busara sana 👏🙌.
 
Body count inasoma ngapi hadi dakika hii ?
 
Nilimwambia tusitishe haya mahusiano kwasababu ya mabadiliko niliyoyaona kwake na tabia zake niliona kabisa tusingefika mbali, alikuwa mwelewa kakubali na hadi leo hajanisumbua, namuombea Mungu ampe mwanamke mvumilivu na mwenye upendo wa dhati kama mimi😎
Inauma SANA Kuna muda hata ukitakula unajiuloza HIVI HUYU mpenz WANGU NAE kala KWELI., maskini kumbe unaemfikiria heri ufikirie watoto yatima MUNGU atakulipa
 
Nilimwambia tusitishe haya mahusiano kwasababu ya mabadiliko niliyoyaona kwake na tabia zake niliona kabisa tusingefika mbali, alikuwa mwelewa kakubali na hadi leo hajanisumbua, namuombea Mungu ampe mwanamke mvumilivu na mwenye upendo wa dhati kama mimi😎
Inaonekana alikua mstaarabu mwenyewe.
Yani apewe tena kama wewe Waifu material 😂😂
 
Ahahahha ni matusi kwa kwenda mbele..
Kwanza yule mbwa alianza kunitangazia kwa ndgu zangu kuwa mimi ni muislam feki et nakulaga nguruwe ..

Nilipata moto sana an nilimzingua kinoma noma na mimi nikamtangazia kwa dada ake na mjomba ake kuwa ndg yao anatoa kisamvu...

Kiufupi tuliachana kwa fujo sana...
Ila kwa sasa naomba niseme tuu alhamis ijayo anakuja maza flan hv nilikua namfundisha mwanae wa form one geogy.

Huyu maza kanielewa anasema anataka aje ampikie ticha chakula .
Mi sina hiyana ni kuwala tu...

Huyu nikiachana nae akisema anitukane na mi namwambia kuwa nilikula yeye na mwanae
 
Mimi nikiachana na mtu sitaki kabisa mawasiliano naye, maana hatuna cha kuongea tena
Hatuna, sasa tunaongea nini tena?

Mimi kuna ex mmoja bado nina mawasiliano naye hapa na pale sababu ya kazi ila ni strictly kwa email, kwenye simu yuko blocked 😂
 
Back
Top Bottom