Sijawahi kufanya mapenzi na mwanamke yoyote hapa duniani

Hahaaa viroba ktk ubora wake.
ww subiri adi ufikie 40s ndo utakamilika 100%.
hahaaa kwan ukikataliwa unachubuka au unaota kichunuc usoni.
pole
Mkuu situmii kilevi chochote mie mtu wa mungu.
 
Hapa nawaza unavyojifunga au kufunga magoli ya mikono

Na kudinda ukiongea na huyo dada

bado nawaza tu
 
Hapa nawaza unavyojifunga au kufunga magoli ya mikono

Na kudinda ukiongea na huyo dada

bado nawaza tu
huyu atakuwa mwanachama wa CHAPUTA aysee ,haiwezekani 24yrs awe hajagegeda..
 
Faida Ya kuoa na b.ikra ni kuwa huwezi kulinganisha..Yaan we ukikutana na bwawa wala hujui kama ndio bwawa utajua ndo wote wapo hivyo..jitunze hadi uoe,huyo Dada atakuchezea na atakuacha.
 
Ngoja huyo wakusoma aanze kukupiga mizinga ufilisi duka la watu urudishwe kwenu kantalamba!!
 
Ndiyo mkuu ninauhakika,ila mapungufu ndiyo haya ya kuongopa kukataliwa na huyu manzi toa ushauri mkuu.
we unafikir mwanamke atakupa jibu la YES hapohapo?? mbona hujiamini? utaweza kweli mikikiki ya wanawake kweli wewe? AAAH WEWE HAUTAWEZAAA!
 
Kaka nashukulu kwa ushauli wako mzuri mungu akubaliki katika maisha yako.
 
endelea kupiga punyeto tu mkuu utapata unachotafuta.
 

Kwa io we unafanyaga mapenzi na wanawake wa sayari nyingine na sio wa duniani c ndio!??,?
 
Je akikutana na zombi la kimakonde au la kizaramo unafikiri atabanduka kweli?ndo ataoa hapohapo!!!!!
 
"Jamani Kukaa Bila Kufanya Mapenzi Ni Mtihani Mgumu Sanaa Unaelekea Unanishinda" Well!!! Kwako Huu Ni Mtihani Mgumu Sanaa, Vipi Kuingia Peponi?? Ni Rahisi???
Mkuu ni ngumu sana lakin mpaka hapa zambi yangu ya kufanya mapenzi kabla ya doa bado haija andikwa.
 
huwezi jua mkuu....si kasema ni mwanafunzi wa chuo?itakuwa ni chuo cha masista anasomea usista huyo dada!!

Karne hii mwanafunzi Tena wa chuo umkute silid... Mtoa uzi anazingua aisee hata usistan huko siku hizi wanachakachuana sembuse vyuo vyetu hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…