Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante mkuu kwa ushauri wako taufanyia kazi,lakin mkuu msichana ni bikira.
huyu atakuwa mwanachama wa CHAPUTA aysee ,haiwezekani 24yrs awe hajagegeda..Hapa nawaza unavyojifunga au kufunga magoli ya mikono
Na kudinda ukiongea na huyo dada
bado nawaza tu
we unafikir mwanamke atakupa jibu la YES hapohapo?? mbona hujiamini? utaweza kweli mikikiki ya wanawake kweli wewe? AAAH WEWE HAUTAWEZAAA!Ndiyo mkuu ninauhakika,ila mapungufu ndiyo haya ya kuongopa kukataliwa na huyu manzi toa ushauri mkuu.
Kaka nashukulu kwa ushauli wako mzuri mungu akubaliki katika maisha yako.Kwa maelezo yako inaonesha umefikia hatua ya mwisho ya uvumilivu. Na unapoelekea utayaingia tu. Sasa cha msingi cheza karata zako vizuri utafute mtu anayekupenda yeye kwa kipindi hiki, ili upunguze huo ugumu wako. Ukishaanza kupata uzoefu anza kutafuta unaempenda wewe, kwa sababu nina imani mpaka kipindi hicho utaweza kujicontrol.lakin kwa sasa ukitafutaunayempenda atakutesa sana. Bora utafute zombi usilolipenda kwa sasa ili likupe uzoefu.
Habari zenu MMU?....Natumaini mko poa kabisa na afya njema.
Husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi ni kijana wa kitazania ambae nina umri wa miaka 24. Yaani toka nizaliwe sijawahi kufanya mapenzi na mwanamke yoyote hapa dunian, mie nimwanaume niliekamilika kwa 99%. mashine yangu ipo imara sana ila nimekuwa mpweke sana hususani kwenye mambo ya mapenzi, kusema ukweli mapenzi niliyaweka pembeni nikaconcentrate kwenye masomo na mazoezi zaidi, sikuweza kuwatongoza kabisa wanawake japokuwa nilikuwa na hisia kama mwanaume. nilijipangia kuwa nitafanya mapenzi nikiwa kwenye doa hapo ndio nitasema nimeushinda mtihan, jaman kukaa bila kufanya mapenzi ni mtihan mgumu sana unaelekea kunishida, tangu nije dar nimetokea kuwa na urafiki wa karibu sana na msichana wa chuo, huyu msichana nimetokea kumpenda sana, tatizo ananichukulia kama rafiki akija dukan napagawa yaani jinsi alivyoumbika mithili ya malaika, kumwambia naweza tatizo nahofia kukataliwa then iwe aibu akija dukan....Naomba mawazo yenu ya hekima.
Mkuu ni ngumu sana lakin mpaka hapa zambi yangu ya kufanya mapenzi kabla ya doa bado haija andikwa."Jamani Kukaa Bila Kufanya Mapenzi Ni Mtihani Mgumu Sanaa Unaelekea Unanishinda" Well!!! Kwako Huu Ni Mtihani Mgumu Sanaa, Vipi Kuingia Peponi?? Ni Rahisi???
alikuambia kua yeye ni bikra au umejuaje?????
huwezi jua mkuu....si kasema ni mwanafunzi wa chuo?itakuwa ni chuo cha masista anasomea usista huyo dada!!
Mkuu ni ngumu sana lakin mpaka hapa zambi yangu ya kufanya mapenzi kabla ya doa bado haija andikwa.