Sijawahi kufanya mapenzi na mwanamke yoyote hapa duniani

Ngoja huyo wakusoma aanze kukupiga mizinga ufilisi duka la watu urudishwe kwenu kantalamba!!
Mkuu nipo makin sana, nahitaji mwanamke mwenye upendo wa dhati anaejua shida na raha, asiye piga mizinga huyu ndie nitampenda kwa moyo wa dhati kabisa.
 
Hapana..nimeshauri 'uvulana' usipotezwe ndio maana nikatoa na faida..kuna thawabu kubwa mbele ya Mungu,na wazazi wako wanabarikiwa.

Ushauri: Usiruhusu kurubuniwa.

Say what now? Yaani mimi kutofahamiana na wapendwa, wazazi wangu wanabarikiwa? Wakati wenyewe ndiyo wananishauri kila mara niruke ruke mpaka mapepe ya ujana yaishe, ndiyo ni-settle.
 
Kama ni kweli kwa umri huo hujawahi kufanya mapenzi, basi ukioa utamsumbua sana mkeo....yaani mambo ambayo ungefanya ukiwa na 18 Utafanya ukiwa na 35+???
Mkuu siwenzi kumsumbua hata kidogo najitambua.
 
Ukimwona mzuri kwako tambua pia kuna wengne kule chuo na mitaani wanamuona mzuri kwao, vp hujaanza kuhonga vitu vya dukani?. We subiri uone ndpo ufanye madhambi hayo, japo sikuamini km wewe ni bikra
Hii ni story ya kweli mkuu we toa ushauri wa hekima.
 
Hahaa..ila sasa ukute mwenzio katumika wee. Sema hautojua ndo raha yake.

Wanadamu bana. Mi najaribu kuwa positive, we unanipa negative thoughts. Sasa njoo unionyeshe kwa mifano thabiti nitajuaje kama katumika ama lah, na nifanye nini kuepuka hiyo hali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…