TONY LOVE
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 720
- 379
- Thread starter
- #81
Mkuu nipo makin sana, nahitaji mwanamke mwenye upendo wa dhati anaejua shida na raha, asiye piga mizinga huyu ndie nitampenda kwa moyo wa dhati kabisa.Ngoja huyo wakusoma aanze kukupiga mizinga ufilisi duka la watu urudishwe kwenu kantalamba!!