Sijawahi kufanya mapenzi na mwanamke yoyote hapa duniani

Sijawahi kufanya mapenzi na mwanamke yoyote hapa duniani

Mama mchungaji Miss Evelyn Salt; huyu memba anafaa kuingia kwenye kanisa letu la waumini wasiotaka mambo ya kufahamiana.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ni ngumu sana lakin mpaka hapa zambi yangu ya kufanya mapenzi kabla ya doa bado haija andikwa.
Na Dhambi Zingne Bado Azijaandikwa?? Hilo Swala Lako La Kutofanya Sex Ni Rahisi Tuuu Nashangaa Unavyolalamika Ugumu Wake, Ukikulia Maisha Ya Dini Na Kumtegemea Mungu Hiyo Inshu Inakua Ndogo Sanaaa. Shetan Alipoiweka Dunia Sasa, Hilo Swala Linakua Gumu!!!
 
Hongera sana kwa kujitunza mpaka miaka hiyo. Nawashangaa sana wanaokushangaa, it is possible hata kufikisha 30years. Nakushauri usifanye uzinzi subiri uoe na hiyo ni kwa faida yako, mungu wako na kwa mkeo. Remember ukiwa mwaminifu na mke wako kule atakua mwaminifu waiting for you.
Kama kweli umempenda kwa dhati na kuridhika nae mwambie then msubiri harusi ndio mfanye kitendo siku ya harusi usiku. Kwa sasa big nooooooo
Ahsante kwa ushauri wako mzuri,nitaufanyia kazi.
 
Kama umeweza kusubiria ukamilifu wako adi 99% basi subiria hiyo moja ili uwe umekamilika kwa 100%
 
Faida Ya kuoa na b.ikra ni kuwa huwezi kulinganisha..Yaan we ukikutana na bwawa wala hujui kama ndio bwawa utajua ndo wote wapo hivyo..jitunze hadi uoe,huyo Dada atakuchezea na atakuacha.
Ahsante dada yangu kwa ushauri wako, lakin dada yangu nitajitunza mpaka lini? maana huu muda ndiyo mwafaka wa kupata mwanamke wa maisha na ndoto zangu.
 
Faida Ya kuoa na b.ikra ni kuwa huwezi kulinganisha..Yaan we ukikutana na bwawa wala hujui kama ndio bwawa utajua ndo wote wapo hivyo..jitunze hadi uoe,huyo Dada atakuchezea na atakuacha.

h22f4306c.jpeg
 
mimi ni kijana wa kitazania ambae nina umri wa miaka 24. Yaani toka nizaliwe sijawahi kufanya mapenzi na mwanamke yoyote hapa dunian,Kwa hiyo wanawake uliokuwa unafanya nao mapenzi walikuwa wa dunia ipi?
 
Ahsante dada yangu kwa ushauri wako, lakin dada yangu nitajitunza mpaka lini? maana huu muda ndiyo mwafaka wa kupata mwanamke wa maisha na ndoto zangu.

Muda muafaka bado..niamini Mimi.
 
Mwanaume kuogopa kukataliwa ni sawa na polisi kuogopa kituo cha polisi
 
Back
Top Bottom