Sijawahi kufanya mapenzi na mwanamke yoyote hapa duniani

Hahahah
Hivi unajua wageni hapa mjini ndio wanaongoza kwa selfie????? Mpaka wasettle ushamba uwatoke sio kazi ndogo...ni mwendo wa selfie asubuhi selfie usiku

Hahahah
Mkuu nina mwaka na nusu nipo hapa mjini.
 
Kwa maelezo yako inaonesha umefikia hatua ya mwisho ya uvumilivu. Na unapoelekea utayaingia tu. Sasa cha msingi cheza karata zako vizuri utafute mtu anayekupenda yeye kwa kipindi hiki, ili upunguze huo ugumu wako. Ukishaanza kupata uzoefu anza kutafuta unaempenda wewe, kwa sababu nina imani mpaka kipindi hicho utaweza kujicontrol.lakin kwa sasa ukitafutaunayempenda atakutesa sana. Bora utafute zombi usilolipenda kwa sasa ili likupe uzoefu.

Mmh! Ushauri wa giza huu
 
Domo zege katika ubora wako!!!!
I guess itakuwa na sugu za kutosha kutokana na kujipiga selfie kila uonapo msichana mrembo
 
Hebu acha blabla , njoo inbox nikufundishe namna ya kufanya mapenzi .Ujisu nitakao kupatia lazima huyo mwanamke hatokuacha
 
Habari zenu MMU?

Natumaini mko poa kabisa na afya njema. Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Mimi ni kijana wa kitazania ambae nina umri wa miaka 24. Yaani toka nizaliwe sijawahi kufanya mapenzi na mwanamke yoyote hapa duniani, mimi nimwanaume niliekamilika kwa 99%.

Mashine yangu ipo imara sana ila nimekuwa mpweke sana hususani kwenye mambo ya mapenzi, kusema ukweli mapenzi niliyaweka pembeni nikaconcentrate kwenye masomo na mazoezi zaidi, sikuweza kuwatongoza kabisa wanawake japokuwa nilikuwa na hisia kama mwanaume.

Nilijipangia kuwa nitafanya mapenzi nikiwa kwenye ndoa hapo ndio nitasema nimeushinda mtihan, jaman kukaa bila kufanya mapenzi ni mtihan mgumu sana unaelekea kunishida, tangu nije Dar nimetokea kuwa na urafiki wa karibu sana na msichana wa chuo, huyu msichana nimetokea kumpenda sana, tatizo ananichukulia kama rafiki akija dukani napagawa yaani jinsi alivyoumbika mithili ya malaika, kumwambia naweza tatizo nahofia kukataliwa then iwe aibu akija dukani.

Naomba mawazo yenu ya hekima.

Mwambie acha ujinga!
 
Kwa maelezo yako.
- Wewe ni domo zege.
- Wewe ni mtu wa kujichua sana.
- Wewe ni muoga na hujiamini unapenda vya ubwete.
 
Komaa kak.....usijarib kufanya...m2nzie mkeo japo cjui nae atakuwa kaku2nzia au?
 
Habari zenu MMU?

Natumaini mko poa kabisa na afya njema. Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Mimi ni kijana wa kitazania ambae nina umri wa miaka 24. Yaani toka nizaliwe sijawahi kufanya mapenzi na mwanamke yoyote hapa duniani, mimi nimwanaume niliekamilika kwa 99%.

Mashine yangu ipo imara sana ila nimekuwa mpweke sana hususani kwenye mambo ya mapenzi, kusema ukweli mapenzi niliyaweka pembeni nikaconcentrate kwenye masomo na mazoezi zaidi, sikuweza kuwatongoza kabisa wanawake japokuwa nilikuwa na hisia kama mwanaume.

Nilijipangia kuwa nitafanya mapenzi nikiwa kwenye ndoa hapo ndio nitasema nimeushinda mtihan, jaman kukaa bila kufanya mapenzi ni mtihan mgumu sana unaelekea kunishida, tangu nije Dar nimetokea kuwa na urafiki wa karibu sana na msichana wa chuo, huyu msichana nimetokea kumpenda sana, tatizo ananichukulia kama rafiki akija dukani napagawa yaani jinsi alivyoumbika mithili ya malaika, kumwambia naweza tatizo nahofia kukataliwa then iwe aibu akija dukani.

Naomba mawazo yenu ya hekima.

Usijisumbue mkuu. Endelea na msimamo mpk uingie kweny ndoa. Huko utapewa bila hata kuomba au kutongoza.
 
Habari zenu MMU?

Natumaini mko poa kabisa na afya njema. Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Mimi ni kijana wa kitazania ambae nina umri wa miaka 24. Yaani toka nizaliwe sijawahi kufanya mapenzi na mwanamke yoyote hapa duniani, mimi nimwanaume niliekamilika kwa 99%.

Mashine yangu ipo imara sana ila nimekuwa mpweke sana hususani kwenye mambo ya mapenzi, kusema ukweli mapenzi niliyaweka pembeni nikaconcentrate kwenye masomo na mazoezi zaidi, sikuweza kuwatongoza kabisa wanawake japokuwa nilikuwa na hisia kama mwanaume.

Nilijipangia kuwa nitafanya mapenzi nikiwa kwenye ndoa hapo ndio nitasema nimeushinda mtihan, jaman kukaa bila kufanya mapenzi ni mtihan mgumu sana unaelekea kunishida, tangu nije Dar nimetokea kuwa na urafiki wa karibu sana na msichana wa chuo, huyu msichana nimetokea kumpenda sana, tatizo ananichukulia kama rafiki akija dukani napagawa yaani jinsi alivyoumbika mithili ya malaika, kumwambia naweza tatizo nahofia kukataliwa then iwe aibu akija dukani.

Naomba mawazo yenu ya hekima.

point of corection, hakuna mwanamke mzuri dunian kama malaika
 
inaonesha utakua mmalizaji mzuri sana wa vipande vya sabuni wew,
 
Habari zenu MMU?

Natumaini mko poa kabisa na afya njema. Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Mimi ni kijana wa kitazania ambae nina umri wa miaka 24. Yaani toka nizaliwe sijawahi kufanya mapenzi na mwanamke yoyote hapa duniani, mimi nimwanaume niliekamilika kwa 99%.

Mashine yangu ipo imara sana ila nimekuwa mpweke sana hususani kwenye mambo ya mapenzi, kusema ukweli mapenzi niliyaweka pembeni nikaconcentrate kwenye masomo na mazoezi zaidi, sikuweza kuwatongoza kabisa wanawake japokuwa nilikuwa na hisia kama mwanaume.

Nilijipangia kuwa nitafanya mapenzi nikiwa kwenye ndoa hapo ndio nitasema nimeushinda mtihan, jaman kukaa bila kufanya mapenzi ni mtihan mgumu sana unaelekea kunishida, tangu nije Dar nimetokea kuwa na urafiki wa karibu sana na msichana wa chuo, huyu msichana nimetokea kumpenda sana, tatizo ananichukulia kama rafiki akija dukani napagawa yaani jinsi alivyoumbika mithili ya malaika, kumwambia naweza tatizo nahofia kukataliwa then iwe aibu akija dukani.

Naomba mawazo yenu ya hekima.

🥲
 
Back
Top Bottom