Sijawahi kufanya mapenzi, nasubiri muda muafaka ufike

Sijawahi kufanya mapenzi, nasubiri muda muafaka ufike

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Ndugu zanguni members wenzangu me ni kijana mwenye umri wa miaka 23 nasijawahi kufanya mapenzi na mwanamke yoyote na sio kwamba labda nina tatizo la hasha ila tu nimeamua iwe hivyo mpaka pale nitapopata mwanamke nitakayekuwa na future naye ingawa teyali ninaye ila muda muafaka utapofika nitaweza kufanya.

Kuhandle hili suala aikuwa nii rahisi nimepitia changamoto Sana moja Kati ya Jambo ninalikumbuka ni hii Kuna kipindi Fulani niliamia kwa rafiki yangu kwa ajili ya kusoma cos kwao ni karibu na chuo na yeye anakaa na Kaka yake pamoja na mdogo wake ambaye ni msichana.kaka yake sio mkaaji Sana.Me na rafiki tulikuwa ni zaidi ya ndugu na nilifahamika kwa baadhi ya ndugu zake.

Siku moja rafiki yangu aliniaga kwamba anaenda kwa shangazi yake so akaniacha me,mdogo wa like pamoja na Kaka yake Mara Kaka yake akapigiwa simu sehemu Fulani ikabidi aondoke akaniacha me na huyo msichana wa kike ambaye anasoma form six wakati ninapiga kitabu huyo msichana akaja akiwa na kanga na kunianza kunitega Mara ajifunue anioneshe paja kiasi ambacho ikanipandisha mzuka lakini nilijicontrol hisia zangu na kumwambia achana na hizo mambo na sipo teyari kufanya hilo suala alinishangaa lakini akakubali hali halisi niliyomwambia.

Baada kupita Hilo suala tokea hapo huyo dada akawa ananionea aibu ila siku moja nikamwita Kuna kitu nikabidi nimuambia unatakiwa kwanza usahau Lile tukio me nilikukatalia sio kwamba wewe ni mbaya hapana we ni msichana mzuri na umejaaliwa na mungu na Kila mwanaume angetamani kuwa na we lkn me Nina uhusiano teyali na mwanamke ninayempenda na yeye ananipenda Sana sikuwa teyali kumsaliti so why nikakukatalia Wala usichukulie vibaya

NB: ndugu zanguni tupende kuheshimuni mahusiano yetu kama we upendi kusalitiwa mpenzi wako bas pia usipende kumsaliti mpenzi wako najua ni Jambo gumu hasa kwa sisi wanaume kama me nimeweza we unashindwaje
 
Hivi kuna timu inaingia kwenye mashindano yoyote bila kufanya training na kucheza michezo ya kirafiki kupima uwezo wake?
Au kuna bondia anapanda tu ulingoni na hajawai kufanya traininig?
Ndugu utakuja upigwe nock out huko ndoani
 
kama ukisemacho ni kweli keep the spirit kaka

wachache sana wa aina yako,ngono sio hewa au chakula kwamba ukikosa utakufa,

Ubarikiwe sana kwa kujitunza.
Katika maisha yangu ngono SIJAWAHI kuweka kama first priority katika maisha yangu ndo maana Nina kama mwaka katika uhusiano wangu sijafanya nae ngono.99% wanaamini ukiwa kwenye uhusiano lazima mfanye ngono kitu ambacho sio lazima.
 
Back
Top Bottom