Sijawahi kufika kileleni

Sijawahi kufika kileleni

Nisaidieni wana jf,Mimi ni mwanamke namiaka 35,nimeshakuwa na mausiano mengi tu,lakini hakuna hata mmoja aliyewahi kunifikisha,mpaka naanza kukata tamaa ya kuwa na mpenzi wa jinsia ya kiume,nisaidieni nifanyeje? Maana naona naelekea kubaya
Umejuaje kama hujawahi kufika kileleni? Kama kilele hukijui, utajuaje kuwa umefika kileleni?Otherwise, kuna mmoja alishawahi kukufikisha kileleni. Lakini wengine wameshindwa. Usituchezee akili zetu hapa.
 
Jenu lengo la kuwa na wanaume wengi ni kwa ajili ya kufika kileleni au sababu zipi?

...na ulikuwa na wanaume wengi ili wakufikishe kileleni au?...uli kuwa nao kibiashara au mapenzi ya kweli....jiulize kwanza...then ukipata majibu yalete tuanzie tiba hapo...pole sana...
 
kuna mawili eidha mlima kitonga ulianza panda utotoni xo feelings zinapotea!madamex msaidie huyo!
 
Nisaidieni wana jf,Mimi ni mwanamke namiaka 35,nimeshakuwa na mausiano mengi tu,lakini hakuna hata mmoja aliyewahi kunifikisha,mpaka naanza kukata tamaa ya kuwa na mpenzi wa jinsia ya kiume,nisaidieni nifanyeje? Maana naona naelekea kubaya

Daaaa maskiniiiii...hujawahi kweli jamani?.....wenzio hadi wanalia kwa furahaaaa ati.........nicheki faragha basi mumito.........heeee hustahili adhabu kubwa kiasi hicho ujue.........unastahili kufurahi kama wenzako......niPM sawa eeehhhh........nakuonea huruma jamani..........kwa hio wewe unakitumia kukojoa tu basi haikupi raha nyingine, weeeeee...........maskini dada wa watu............nicheki faragha mamito kweli kabisa nikusaidie hata mara moja tu..........weweeeeeeee nimestuka ujue na kukuonea huruma ghafla!!!!!!! sawa eeehhhh nicheki basi usichelewe lakini nakuomba!!!!
 
pole sana inaonekana wanaume unaoenda nao wanakuwa na papara nyingi wakati wa tendo jaribu kutafuta mtu asiekuwa na papara na anaejua nini mwanamke anatakiwa kufanyiwa..lakini pia yawezeka unatembea na wazee wakubwa ambao hawawezi kazi zaidi ya kupiga kamoja wamechoka...uliweza nitafute nikufikishe sku moja
 
hili ni janga kwa wanawake wengi tu, cha muhimu ni kumpa ushauri mzuri na sio kumkebehi. Jiulize ungekuwa wewe je?
 
nakupa pole sana mpendwa wangu,wanawake wengi asilimia 95 hawafiki kwenye kilele.wanawake wamekuwa kama ni vyombo vya kustarehesha wanaume.wanaume wengi wakishamwaga wao hawatambui kuwa wanawake nao wanatakiwa wafike kilele.but nikushauri tu kuwa titahidi kuweka mawazo katika tendo la ndoa utafikia kilele.
 
pole sana mama sijambo la ajabu kwani niwengi kwa msahada na ushauri zaidi contact wth me in 0752996663 ntakusaidia kwa ushauri.
 
pole dada, lakini nijuavyo mimi,unatakiwa kupunguza mawazo mengi wakati wa ku do! vuta feelings utafika tu kileleni maromance yawe ya muda si kukurupuka! wataalam watakueleza mengi!
 
pole sana dada kwa tatizo ili , mimi nafiki kuna tatizo la kisaikolojea , inawezekana ulipata matatizo ya kijinsia Utoto au ulikuwa na mausiano siyo mazuri kwa jinsia ya kiume , labda nikuulize swali vipi mausiano yako na jinsia ya kiume ? wakati ulipokuwa mtoto uliwaikufanyiwa kitendo kibaya kutoka njinsia ya kiume ?? kama kubakwa au kukataliwa au kupigwa kupiata kiasi ??au uliwai kuona mwanamke anabakwa au kufanyiawa kitendo kibaya cha kijinsia ?? kama umeshaolewa , unampanda mume wako dada ???
chakufanya dada kama uliwai kutendowa tendo lolote baya utoto kutoka njinsia ya kiume , jaribu kuwa samehee wote waliokutendea vitendo vibaya au kama uliwai kuona kitendo kibaya , jaribu kuwasamehee ,
pili :fanya mazoea ya kuwa karibu na mpenzi wako ,katika mambo ya kawaida kama kuzungumza naye kucheka na kubadilisha mawazo , na msikimbilia kufanya mapenzi kila wakati , pata muda wa kuwa marafiki tu
tatu:Mnapokuwa kwenye tenda la Ndoa , jaribu kusahau matatizo yote yanayokukabili, na wazo tendo la ndoa
nne:kabla ya tendo la ndoa jaribu kufanya Romance kwa muda wa kama dk 25 mpaka 35 kabla ya tendo , kuruhusu akil isahau matatizo yote yanayokukabili
ukishindwa kabisa jaribu kuwaona wataharamua wa mambo ya kike,
 
Nisaidieni wana jf,Mimi ni mwanamke namiaka 35,nimeshakuwa na mausiano mengi tu,lakini hakuna hata mmoja aliyewahi kunifikisha,mpaka naanza kukata tamaa ya kuwa na mpenzi wa jinsia ya kiume,nisaidieni nifanyeje? Maana naona naelekea kubaya


Tafuta mutu ya Kagera ikupe kitu inaitwa ''Katerero'', ni lazima ufike unakotaka kwenda dada yangu!
 
Nisaidieni wana jf,Mimi ni mwanamke namiaka 35,nimeshakuwa na mausiano mengi tu,lakini hakuna hata mmoja aliyewahi kunifikisha,mpaka naanza kukata tamaa ya kuwa na mpenzi wa jinsia ya kiume,nisaidieni nifanyeje? Maana naona naelekea kubaya

Km umeshndwa kupata lift ya kukufkisha huko kileleni ntafute mm mti mkavu hauchimbwi dawa ntakupeleka mpk uhuru peak.
 
::
Kumradhi lakini nakuuliza swali ambalo usitoe jibu hapa,,jibu iwe siri yako
Je,umekeketwa? Kama ndiyo inaweza kuwa sababu pengine ingawa si lazima.
Ila kama hapana basi maelezo yatakuwa mengi.
=

Ahsante maana nilitaka kuuliza swali hili hili
 
Mkuu soma sred uelewe mimi cna tatizo kileleni nafikishwa kama kawa
Basi dawa ni uache Lesbianism!! Kumbe ulishawahi onja hiyo kitu!! Kupata sense kwa mwanaume ni tabu sana!! Yaani wewe ni lazima upate counselling ya kuachana na zile raha za usa=ga-ji ndipo utaweza feel mwanaume na upate orgams.
 
Mkuu soma sred uelewe mimi cna tatizo kileleni nafikishwa kama kawa

Mkuu very sorry sana. Nilipoona kuwa umetamka mambo yale mengine nikafikiri wewe ni mleta mada. Dah, kuanzia leo navaa lens kubwa ya miwani.
 
Nisaidieni wana jf, Mimi ni
mwanamke namiaka 35 ,nimeshakuwa na mausiano mengi tu, lakini hakuna
hata mmoja aliyewahi kunifikisha,mpaka naanza kukata tamaa ya kuwa na
mpenzi wa jinsia ya kiume,nisaidieni nifanyeje? Maana naona naelekea
kubaya

inawezekana hata wewe huwafikishi wanaume
 
Back
Top Bottom