Sijawahi kukutana na mke wa mtu mpumbavi kama huyu

Sijawahi kukutana na mke wa mtu mpumbavi kama huyu

Munguwetu

Member
Joined
Dec 13, 2022
Posts
87
Reaction score
80
Kitendo cha kunipiga stori za madhaifu wa mumewe aliye na watoto naye tena wa kutosha walieishi naye miaka mingi. Alinisononesha kabisa .

Na nilimuambie aamuombe radhi jamaa na atulie. Kibaya zaid alimsomesha yeye na kupata kazi aliyonayo.

Wanawake waoneni hivi tu sio watu.

Je mnadhani ningemkanyaga kidogo?
 
Tuambizane ukweli asilimia kubwa Sana wake za watu wanapigwa. Je hutoa Siri za wenzao wao, sababu ni nini. Kasoro ya sisi wanaume ni pale tunapodanganya " sijaoa" Ili upate mate upate kiwewe

Hawa wanadam sio watu
 
Wapo watu wasio na utu
Sio wanawake wala wanaume
sio tajiri wala maskini
Sio msomi wala asiyesoma
Sio mtu mzima wala kijana
Sio mwenye dini wala asiyeamini
siku nyingine uki deal na mtu jua una deal na roho flani na sio body unaloliona

Akishaamu kuchepuka, tayari huyo ni shetani.

kazi ya shetani inafahamika
 
Wapo watu wasio na utu
Sio wanawake wala wanaume
sio tajiri wala maskini
Sio msomi wala asiyesoma
Sio mtu mzima wala kijana
Sio mwenye dini wala asiyeamini
siku nyingine uki deal na mtu jua una deal na roho flani na sio body unaloliona
Hapo unataka kusemaje
 
What if alitaka ushauri kutoka kwako? Some men are just men. END OF STORY! FULL STOP! PERIOD!
 
Kama mumewe ana kisukari ungemsaidia tu huyo bidada kushusha mihemuko yake ya kimapenzi hata maramoja.
Sasa kwa hali kama hiyo ya mumewe, ile kauli ya "mke wa mtu sumu" sijui inafanya kazi?!
 
Kama mumewe ana kisukari ungemsaidia tu huyo bidada kushusha mihemuko yake ya kimapenzi hata maramoja.
Sasa kwa hali kama hiyo ya mumewe, ile kauli ya "mke wa mtu sumu" sijui inafanya kazi?!
Mkuu sikia tu Kwa watu
 
Mke wa mtu akianza kukusimulia madhaifu ya mumewe, kimbia... ukimuonea huruma utaharibu, Na chochote utakachomuambia siku akipewa sikio na mumewe atamuambia.

Tena usigeuke nyuma, Kimbia.
 
Ila ndo za sikuhizi bhana,zimekuwa kichekesho😂😂😂🙉
 
Back
Top Bottom