Hapo unataka kusemajeWapo watu wasio na utu
Sio wanawake wala wanaume
sio tajiri wala maskini
Sio msomi wala asiyesoma
Sio mtu mzima wala kijana
Sio mwenye dini wala asiyeamini
siku nyingine uki deal na mtu jua una deal na roho flani na sio body unaloliona
Ndiyo ukamilishe stori, siyo kututega. Kama aliona akusaidie wewe hizo zana maana tabia zako chafu anazijua?Kama manz anakuja na condom anataka ushauri gani
Anakutega huyoWeeeee heeee.
Nilimwambia afanye hima arejee kwake