Sijawahi kukutana na mke wa mtu mpumbavi kama huyu


Ujinga wako unaanzia hapa:

"Je mnadhani ningemkanyaga kidogo?"

Ukimkanyaga na wewe tukuitije? Mpumbavu au?
 
Wanawake huwa wapo Emotional sana
Mwanamke yeyote ambaye anatoka nje labda ni M1 kwa 10 tu ambaye hamsemi mume wake vibaya kwa hawala yake
Lkn Wanaume huwa wako Rational akishakuwa na mchepuko lazima huwa dhamira inamsuta kuhusu nyumbani kwake au mke wake na huwa kuna mapenzi home ni M1 kwa 10 vilevile ambaye amebumbwa ameshikika na hawala yake
 
anataka umpelekee moto alafu na ww unajivunga vunga
 

Angalau taifa lina vijana wakuwatumainia.
 
Mbna wanawake wapumbavu wako wengi Sana mkuu

Acha kbsa niliwai kudate na mke wamtu nilimuhurumia mumewe yaani niliona huruma haswa kwa jama Yule kumuoa mke mjinga Kiasi kile

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Na wewe ukayaleta jf, wale wale.
 
Sentensi yako ya mwisho imefanya Niondoe Nyota zote nilizokuvesha wakati naanza kusoma Bandiko lako.
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…