Sijawahi kuliliwa na mwanamke, huu ni mkosi au?

Suala la kuliliwa nalishuhudia kwa wenzangu tu, umri sasa unanigongea hodi lakini mpaka sasa sijabahitika kukutana na mtoto shombeshombe au tipwatipwa aliyejaribu walau kutoa leso yake na kufuta malengelenge ya machozi kwenye macho yake kwa kitendo cha kumwacha. Huu si mkosi kweli?

Nifanyeje wandugu, kwa sababu kama ni pesa zimenitoka sana, mwisho mimi ndiye nakuwa mzee wa kuwapigia magoti kuokoa manowari isizame.
Nina dawa za kuliliwa mpaka wanatoa makamasi. Njoo pm tuyajenge, bei na masharti ninsimple sana.
 
Matipwatipwa wengine tuna roho za chuma!!! [emoji23][emoji23][emoji23] ukitoa kibuti ndo kwanza tunanunua soda na kurelax
Hahahahahaahaha! Daaah! Au mnapigia Vidumu vije kuwaliwaza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
 
Etiii! Nijilize kama vile niliumbwa nawe... Mbo.o kibao zinatafuta pa kuchomeka
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] Aisee Wanawake wa Siku hizi kiboko[emoji23]

Wanawake wengine wanasema "Hawataki kuongeza Idadi ya Midume tuliyowaLala" Hii imekaaje kwako au unaizungumziaje hii?
 
Mimi nilikua na mpango huo!!! Ila nishachemka..
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]

Umeona bora utafute wa kukufaa,[emoji23] No Matter how many will "Put Theirs in you"""?[emoji23] [emoji23] [emoji39]
 
Idadi inamatter kwangu aisee!!! Ila siwezi lialia coz ya kuachwa!!!
 
Kuliliwa ni balaa nuksi na mikosi wewe hujui tu, ukililiwa ndio mwanzo wa kulishwa malimbwata na uchafu mwingine
 
Back
Top Bottom