Sijawahi kuliliwa na mwanamke, huu ni mkosi au?

Dah sijawahi kuwa na demu kwenye mahusiano nisimlize kama mara kumi nikiongelea suala la kumuacha akianza kuzingua
 
Suala la kuliliwa nalishuhudia kwa wenzangu tu, umri sasa unanigongea hodi lakini mpaka sasa sijabahitika kukutana na mtoto shombeshombe au tipwatipwa aliyejaribu walau kutoa leso yake na kufuta malengelenge ya machozi kwenye macho yake kwa kitendo cha kumwacha. Huu si mkosi kweli?

Nifanyeje wandugu, kwa sababu kama ni pesa zimenitoka sana, mwisho mimi ndiye nakuwa mzee wa kuwapigia magoti kuokoa manowari isizame.

Kwa hiyo unaliliwa na vimbau mbau ma black?
 
Kuna moja nakumbuka lillinililia baad ya mm kumtongoza akanikataa nikasepa zang...akarud baada ya miezi mitatu anadai anapenda na mm nikamkataa...alilia sana...na mpaka now ananipenda lkn cmtak tena...vp nikupe no zake?
 
Hahhahahah
 
Suala la kuliliwa nalishuhudia kwa wenzangu tu, umri sasa unanigongea hodi lakini mpaka sasa sijabahitika kukutana na mtoto shombeshombe au tipwatipwa aliyejaribu walau kutoa leso yake na kufuta malengelenge ya machozi kwenye macho yake kwa kitendo cha kumwacha. Huu si mkosi kweli?

Nifanyeje wandugu, kwa sababu kama ni pesa zimenitoka sana, mwisho mimi ndiye nakuwa mzee wa kuwapigia magoti kuokoa manowari isizame.
Pole sana kila mtu na fani yake
 
Back
Top Bottom