Mjitokezeni basi niko single,am a boy aka baby hapa JF kwa hiyo naweza sema ni bikira wa humu,nichangamkieni basi nina vigezo vifuatavyo
1.Akaunt zangu zinasoma Mil 90(personal) busines inazo 200million
2.Nina gari tatu,Range-rover,prado na verossa can u imagine how shall u enjoy with my luxuries cars
3.Nina nyumba 2 hapa mjini moja iko Mbezi beach,nyingine kimara
4.Nafanya kazi mshahara wangu Mil 4 kwa mwezi,marupurupu million 2 sum.....6000000
5.Nina vitega uchumi vi 5,ambavyo kila siku faida ni Mil 1
Haya nichangamkieni fasta akina dada kabla sijanyakwa
Sent from G spot

bora mimi nimejitangaza lakini wewe kutwa mzima unakesha ku PM wadadaacha udambi dambi .....kama vipi peleka uhalo wako huko huko kwa "machoko mchuzi" wenzako kwani licha ya mali zote hizo kuwa za dhahania lakini pia dalilia 99% kuwa wewe ni domo zege tena zege la kutengezea madaraja makubwa makubwa kama daraja mtwara.
Mmh. Bora ungenyamaza! What if mie nnavyo kuzidi ulivyovitaja? Nikung'oe mimi ama bado utataka uning'oe?
Pole sanaJaribu unate basi
Mjitokezeni basi niko single,am a boy aka baby hapa JF kwa hiyo naweza sema ni bikira wa humu,nichangamkieni basi nina vigezo vifuatavyo
1.Akaunt zangu zinasoma Mil 90(personal) busines inazo 200million
2.Nina gari tatu,Range-rover,prado na verossa can u imagine how shall u enjoy with my luxuries cars
3.Nina nyumba 2 hapa mjini moja iko Mbezi beach,nyingine kimara
4.Nafanya kazi mshahara wangu Mil 4 kwa mwezi,marupurupu million 2 sum.....6000000
5.Nina vitega uchumi vi 5,ambavyo kila siku faida ni Mil 1
Haya nichangamkieni fasta akina dada kabla sijanyakwa
Sent from G spot
natafuta PUNDA anibebee mzigo wangu kwenda China; unaonekana una sifa ninazohitaji. Ukirudi huko watakutambua maana utakuwa na pesa mara 13 ya hizo ulizonazo, hapo utapata babies wa kila rangi. changamkia tenda
HA HA HA aya bana umenifunika nipe dili nisake mahela lakini mwakyembe anabana