Sijawahi kung'oa JF

Sijawahi kung'oa JF

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
21,859
Reaction score
19,736
Mjitokezeni basi niko single,am a boy aka baby hapa JF kwa hiyo naweza sema ni bikira wa humu,nichangamkieni basi nina vigezo vifuatavyo
1.Akaunt zangu zinasoma Mil 90(personal) busines inazo 200million
2.Nina gari tatu,Range-rover,prado na verossa can u imagine how shall u enjoy with my luxuries cars
3.Nina nyumba 2 hapa mjini moja iko Mbezi beach,nyingine kimara
4.Nafanya kazi mshahara wangu Mil 4 kwa mwezi,marupurupu million 2 sum.....6000000
5.Nina vitega uchumi vi 5,ambavyo kila siku faida ni Mil 1

Haya nichangamkieni fasta akina dada kabla sijanyakwa

Sent from G spot
 
Mmh. Bora ungenyamaza! What if mie nnavyo kuzidi ulivyovitaja? Nikung'oe mimi ama bado utataka uning'oe?
 
mademu wa humu wanahitaji upendo sio mali. hizo mali zikiisha utarudi hapa kusema wakupende kwa sifa zipi?. acheni ulimbukeni. mia
 
Mjitokezeni basi niko single,am a boy aka baby hapa JF kwa hiyo naweza sema ni bikira wa humu,nichangamkieni basi nina vigezo vifuatavyo
1.Akaunt zangu zinasoma Mil 90(personal) busines inazo 200million
2.Nina gari tatu,Range-rover,prado na verossa can u imagine how shall u enjoy with my luxuries cars
3.Nina nyumba 2 hapa mjini moja iko Mbezi beach,nyingine kimara
4.Nafanya kazi mshahara wangu Mil 4 kwa mwezi,marupurupu million 2 sum.....6000000
5.Nina vitega uchumi vi 5,ambavyo kila siku faida ni Mil 1

Haya nichangamkieni fasta akina dada kabla sijanyakwa

Sent from G spot

acha udambi dambi .....kama vipi peleka uhalo wako huko huko kwa "machoko mchuzi" wenzako kwani licha ya mali zote hizo kuwa za dhahania lakini pia dalilia 99% kuwa wewe ni domo zege tena zege la kutengezea madaraja makubwa makubwa kama daraja mtwara.
 
Jamani jamani jamani! Unatia huruma saaana!unaona unapesaaaa!kama ni swala la kupata mwanamke ambaye anataka Mali kwa hapa jf wewe bado ni choka mbaya!nenda kinondoni Tunisia road utampata choka mbaya mwenzio.
 
ha ha ha mkuu hamna wa upendo humu wote ni material based
 
Jamani jamani jamani! Unatia huruma saaana!unaona unapesaaaa!kama ni swala la kupata mwanamke ambaye anataka Mali kwa hapa jf wewe bado ni choka mbaya!nenda kinondoni Tunisia road utampata choka mbaya mwenzio.
Jaribu unate basi
 
acha udambi dambi .....kama vipi peleka uhalo wako huko huko kwa "machoko mchuzi" wenzako kwani licha ya mali zote hizo kuwa za dhahania lakini pia dalilia 99% kuwa wewe ni domo zege tena zege la kutengezea madaraja makubwa makubwa kama daraja mtwara.
bora mimi nimejitangaza lakini wewe kutwa mzima unakesha ku PM wadada
 
Mjitokezeni basi niko single,am a boy aka baby hapa JF kwa hiyo naweza sema ni bikira wa humu,nichangamkieni basi nina vigezo vifuatavyo
1.Akaunt zangu zinasoma Mil 90(personal) busines inazo 200million
2.Nina gari tatu,Range-rover,prado na verossa can u imagine how shall u enjoy with my luxuries cars
3.Nina nyumba 2 hapa mjini moja iko Mbezi beach,nyingine kimara
4.Nafanya kazi mshahara wangu Mil 4 kwa mwezi,marupurupu million 2 sum.....6000000
5.Nina vitega uchumi vi 5,ambavyo kila siku faida ni Mil 1

Haya nichangamkieni fasta akina dada kabla sijanyakwa

Sent from G spot

natafuta PUNDA anibebee mzigo wangu kwenda China; unaonekana una sifa ninazohitaji. Ukirudi huko watakutambua maana utakuwa na pesa mara 13 ya hizo ulizonazo, hapo utapata babies wa kila rangi. changamkia tenda
 
HA HA HA aya bana umenifunika nipe dili nisake mahela lakini mwakyembe anabana
 
Back
Top Bottom