Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
-
- #61
Vipi hukuwahi/huvai zile za Bulls,Lakers...t-shirt ya kawaida yenye nembo ya hizo timu kifuani?
hii Woolworth naona duka kubwa sana Afrika,Ulaya hili ni duka la wazee
Hata mimi nilishangaa! Ulaya ni duka la vitu vya ajabu ajabu suitable for pensioners!hii Woolworth naona duka kubwa sana Afrika,Ulaya hili ni duka la wazee
Hata mimi nilishangaa! Ulaya ni duka la vitu vya ajabu ajabu suitable for pensioners!
Hapa TZ wanauza 'high end' clothes. Kuna Levi.s za ukweli hapo ni kama agent wao. Na nguo nyingi ni brand yao from SA. Kibongobongo ndio matawi.Ndo maana kuna sehemu nimeuliza kama hilo duka linauza luxury brands....
Sidhani!
Kwa US ni sawa na Marshall's tu😀
Mi siongelei fake,tunaongelea vitu tofautiKweli sio ya mchezomchezo,but all over Europe ziko za fake-and you cannot tell the difference
Hata Canal Street New York City zipo kibao. Polisi walikuwa wanazipiga vita.Kweli sio ya mchezomchezo,but all over Europe ziko za fake-and you cannot tell the difference
ni akili tu ya kutafuta market, wateja wananunua brand na sio bidhaa wala quality yake, so wauzaji wanatega humohumo, mi nawapongeza wanaoweka label fake maana bidhaa zao mi cheap na watu wengi wana afford mtu akitupia anakuwa sawa kabisa na aliyenunulia GSM mall ma-gap yanapunguaKilicho feki ni watu kuiga bidhaa za wengine na kuziuza kwa kutumia jina lao.
Wewe siyo Gucci kwa nini utengeneze kofia ya Gucci halafu uiuze kibandani?
Kwa nini usitumie jina jingine utumie jina lao?
Hapo ndipo ufeki ulipo.
GSM wanauza genuine Gucci and the like?ni akili tu ya kutafuta market, wateja wananunua brand na sio bidhaa wala quality yake, so wauzaji wanatega humohumo, mi nawapongeza wanaoweka label fake maana bidhaa zao mi cheap na watu wengi wana afford mtu akitupia anakuwa sawa kabisa na aliyenunulia GSM mall ma-gap yanapungua
Quality ya Material does matter mkuu!kuna jeans za elfu ishirini/ thelathin ikivaliwa ndani ya wiki mbili hamna kitu!Kilicho feki ni watu kuiga bidhaa za wengine na kuziuza kwa kutumia jina lao.
Wewe siyo Gucci kwa nini utengeneze kofia ya Gucci halafu uiuze kibandani?
Kwa nini usitumie jina jingine utumie jina lao?
Hapo ndipo ufeki ulipo.
Quality ya Material does matter mkuu!kuna jeans za elfu ishirini/ thelathin ikivaliwa ndani ya wiki mbili hamna kitu!
Au kuna hizi nike air za shs 50 000 /60 000 balaa!
Kuna vitu unakuwa navyo watu ukiwaambia bei uliyonunua wanakwambia umeluwa huku ziko tele tuna vaa kwa bei poa tu!una baki inamwangalia tu moyoni unajisemea "nakupa mwezi mmoja tu tuonane tena na hilo fake lako"!Na mara nyingi hizo bidhaa feki ndo huwa ziko hivyo.
Ubora sifuri kabisa.
Kama ni nguo, ukiifua hata mara moja tu haitamaniki tena.
Na ndo maana huwa zinauzwa kwa bei rahisi.
Hayo ma Nike feki huwa yanafumka vibaya kweli yaani[emoji23] [emoji23]
Huna utofauti na mmi kabisaa!!hahahahaSijui ni tatizo langu mi kitu kikishavaliwa hivyo sipendi kuvaa kikishakuwa trend basi kinanikifu tu...
Unakuta mtu anauza channel baga au LV laki mbili eti original na watu wananunua Hahahhahah