Sijawahi kuona brick-and-mortar store yoyote hapa Dar, lakini watu wana Gucci

Sijawahi kuona brick-and-mortar store yoyote hapa Dar, lakini watu wana Gucci

Inauma sana unanunua nguo kwa dollar 100 afu unakuta inauzwa kariakoo kwa 10000

Ubaya wake ni kuwa yanapauka siku moja tu
Hiyo mitumba wanayokimbilia ndio nguo za dollar 100 na kuendelea

Ila na sisi Watanzania tusitume nguo hadi ichanike
Uumizwe na kitu feki?
 
Usiyemjua humjui tu.

Mimi si mtu wa kuvaa lifulana lina maandishi ya Gucci kifuani.

Siyo zangu kabisa.

Hivyo pole yako ipeleke kwingine maana kwangu umenoa.
Ha ha ha hilo neno umenoa kitambo
 
e275a3ec8064b685eabbb7be6e112df1.jpg
8d5468b03350441a14eea461ed6f0a48.jpg
Hii ni feki?
 
Mimi kwa sababu moja au nyingine nguo yenye label kubwa (physically) siwezi kuvaa.

Najiona kama nakuwa bango la matangazo vile.
 
Mimi kwa sababu moja au nyingine nguo yenye label kubwa (physically) siwezi kuvaa.

Najiona kama nakuwa bango la matangazo vile.

Me too!

Yaani eti nivae mtisheti wenye miandishi mikubwa kifuani isemayo Gucci?

Naah....never have, never will.
 
Me too!

Yaani eti nivae mtisheti wenye miandishi mikubwa kifuani isemayo Gucci?

Naah....never have, never will.
Kibongobongo ndio ujiko wenyewe huo.

Nakumbuka Abraham Mengi alikuwa na M-T Shirt wake mmoja mweusi, original si fake mind you, miandishi mikubwaaa "Dolce And Gabbana" kifua kizima.

Mi nikawa "Do you dude".

Mee, naah.

I would rather embrace my everlasting incospicuous verve and minimally modest disposition.
 
Kuna mtu nimekumbuka.....
 
Me too!

Yaani eti nivae mtisheti wenye miandishi mikubwa kifuani isemayo Gucci?

Naah....never have, never will.
Vipi hukuwahi/huvai zile za Bulls,Lakers...t-shirt ya kawaida yenye nembo ya hizo timu kifuani?
 
Imagine huko kwenye vyakula, vinywaji, na madawa....hakuna Coca-Cola na Pepsi feki kweli?

Hakuna Viagra feki huko mitaani ambazo huuzwa kwenye hayo maduka ya dawa baridi?

Lord have mercy!!
Coca/Pespsi chupa 500/600/- feki haitalipa.
 
Nyani ngabu huoni hii ni fursa,nunua hizi tshet kwa bei rahisi kariakoo then kaziuze USA kwa bei ya huko upige hela.....vitu vingine havihitaji rocket science!
 
Pale unapotoka ulaya uje uswazi ili utambe na nguo yako yenye nembo maarufu alafu unakuta muokota chupa ameivaa then copyright....mbwembwe zote zitakuisha na kuishia JF kulia

Pole mkuu Mchina si mtu mzuri hata kidogo.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Gucci sio brand ya kimchezo mchezo hata kidogo!Marekani kwenyewe watu wanaovaa gucci ni wa kuhesabu
 
Pale unapotoka ulaya uje uswazi ili utambe na nguo yako yenye nembo maarufu alafu unakuta muokota chupa ameivaa then copyright....mbwembwe zote zitakuisha na kuishia JF kulia

Pole mkuu Mchina si mtu mzuri hata kidogo.
"Mchina hajawahi kumwacha mtu yeyote salama"
 
Mm jamani toka udogoni nimezoeshwa mtumba grade A, hata wakati nafanya kaz Bukoba nilikuwa naenda sana Kampala kufanya shopping mana wana grade A za ukweli,
 
Back
Top Bottom