Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #41
Woolworths wanauza luxury brands?hasahasa woolworth jamaa wana zaidi ya miaka 20 wapo pale hawabahatishi kabisa na wanachokifanya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Woolworths wanauza luxury brands?hasahasa woolworth jamaa wana zaidi ya miaka 20 wapo pale hawabahatishi kabisa na wanachokifanya
Uumizwe na kitu feki?Inauma sana unanunua nguo kwa dollar 100 afu unakuta inauzwa kariakoo kwa 10000
Ubaya wake ni kuwa yanapauka siku moja tu
Hiyo mitumba wanayokimbilia ndio nguo za dollar 100 na kuendelea
Ila na sisi Watanzania tusitume nguo hadi ichanike
Ha ha ha hilo neno umenoa kitamboUsiyemjua humjui tu.
Mimi si mtu wa kuvaa lifulana lina maandishi ya Gucci kifuani.
Siyo zangu kabisa.
Hivyo pole yako ipeleke kwingine maana kwangu umenoa.
Hii ni feki?
Mimi kwa sababu moja au nyingine nguo yenye label kubwa (physically) siwezi kuvaa.
Najiona kama nakuwa bango la matangazo vile.
Kibongobongo ndio ujiko wenyewe huo.Me too!
Yaani eti nivae mtisheti wenye miandishi mikubwa kifuani isemayo Gucci?
Naah....never have, never will.
Kuna mtu nimekumbuka.....Kibongobongo ndio ujiko wenyewe huo.
Nakumbuka Abraham Mengi alikuwa na M-T Shirt wake mmoja mweusi, original si fake mind you, miandishi mikubwaaa "Dolce And Gabbana" kifua kizima.
Mi nikawa "Do you dude".
Mee, naah.
I would rather embrace my everlasting incospicuous verve and minimally modest disposition.
Vipi hukuwahi/huvai zile za Bulls,Lakers...t-shirt ya kawaida yenye nembo ya hizo timu kifuani?Me too!
Yaani eti nivae mtisheti wenye miandishi mikubwa kifuani isemayo Gucci?
Naah....never have, never will.
Coca/Pespsi chupa 500/600/- feki haitalipa.Imagine huko kwenye vyakula, vinywaji, na madawa....hakuna Coca-Cola na Pepsi feki kweli?
Hakuna Viagra feki huko mitaani ambazo huuzwa kwenye hayo maduka ya dawa baridi?
Lord have mercy!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Pale unapotoka ulaya uje uswazi ili utambe na nguo yako yenye nembo maarufu alafu unakuta muokota chupa ameivaa then copyright....mbwembwe zote zitakuisha na kuishia JF kulia
Pole mkuu Mchina si mtu mzuri hata kidogo.
Kweli sio ya mchezomchezo,but all over Europe ziko za fake-and you cannot tell the differenceGucci sio brand ya kimchezo mchezo hata kidogo!Marekani kwenyewe watu wanaovaa gucci ni wa kuhesabu
Nani?Kuna mtu nimekumbuka.....
"Mchina hajawahi kumwacha mtu yeyote salama"Pale unapotoka ulaya uje uswazi ili utambe na nguo yako yenye nembo maarufu alafu unakuta muokota chupa ameivaa then copyright....mbwembwe zote zitakuisha na kuishia JF kulia
Pole mkuu Mchina si mtu mzuri hata kidogo.
MimiNani?