Wachina wanatusaidia sana wanatufanya tufeel the same na madonShukrani nyingi kabisa zimwendee mchina.
Ukishaenda kariakoo manake unaenda kununua kitu ya mchina.ukitaka ufurahi iweke kwa maji ufue,anika ikikauka utapata kitu nyingine kabisa.mchina si mtu mzuri.πππππ
Halafu wengine wala hata hawajui kuwa ni feki!
Ni bora hata ukiwa unajua kuwa ni feki na unaamua tu kununua na kuvaa huku ukijua ni feki.
Wale wanaonunua na kuvaa huku hawajui kuwa ni feki [wakidhani kuwa ni genuine] ndo wanatia huruma maana ni wajinga halafu hata hawajui kuwa ni wajinga!