Sijawahi kuona kichekesho kama hiki cha Simba SC

Sijawahi kuona kichekesho kama hiki cha Simba SC

Ushawahi kujitekenya mwenyewe mbele ya umati?

Yaani sijawahi kuona futuhi na comedy nzito kama hii walahi.

Simba Super Cup: BINGWA (Simba)

Mchezaji Bora wa Mashindano: Rally Bwalya (Simba)

Golikipa Bora: Beno Kakolanya (Simba)

Mfungaji Bora: Bernard Morrison (Simba)

Mchezaji bora mechi ya Fainali: Luis Miquissone (Simba)

AMA KWELI SISI SIMBA NI COMEDY
Wacha kejeli za kimalaya,FIFA wameshafanya yao mumefungiwa kusajili misimu mitatu kudadadeq
 
Ushawahi kujitekenya mwenyewe mbele ya umati?

Yaani sijawahi kuona futuhi na comedy nzito kama hii walahi.

Simba Super Cup: BINGWA (Simba)

Mchezaji Bora wa Mashindano: Rally Bwalya (Simba)

Golikipa Bora: Beno Kakolanya (Simba)

Mfungaji Bora: Bernard Morrison (Simba)

Mchezaji bora mechi ya Fainali: Luis Miquissone (Simba)

AMA KWELI SISI SIMBA NI COMEDY
Sawa dada mvaa vjora na madela kakojoe UKALALE. Champion league ya Africa since 1998
 
team 1: point 4, goli 4
team 2: point 3, goli 3
team 3: pointi 1, goli 1

Simba siwaamini, nitawaamini kama watavuka makundi tu

Kwan hata walivyofika robo final uliwaamin huwez waamin hata wakiwa mabingwa ndio hulka zetu ngoz nyeusi
 
Back
Top Bottom