Sijawahi kuona kichekesho kama hiki cha Simba SC

Sijawahi kuona kichekesho kama hiki cha Simba SC

Ushawahi kujitekenya mwenyewe mbele ya umati?

Yaani sijawahi kuona futuhi na comedy nzito kama hii walahi.

Simba Super Cup: BINGWA (Simba)

Mchezaji Bora wa Mashindano: Rally Bwalya (Simba)

Golikipa Bora: Beno Kakolanya (Simba)

Mfungaji Bora: Bernard Morrison (Simba)

Mchezaji bora mechi ya Fainali: Luis Miquissone (Simba)

AMA KWELI SISI SIMBA NI COMEDY
Hivi ukiwa shabiki wa yanga akili huwa zinabaki wapi? nadhani ungekuja na tathmini kwamba mfungaji bora mmempa Morison wakati mchezaji fulani wa al-hila au tp mazembe anagoli 3, ai kiwango cha bwalya hukukiona???
Kwa taarifa yako simba wamefanikiwa kwa malengo yao yote maana kikubwa hapa ilikuwa ni kuangalia iwezo wa wachezaji ambao wengi ni wapya, au kwasababu hukualikwa????? huwezi kutest wachezaji wanaoenda kucheza kimataifa na yanga ya mapinduzi cup????
 
Naanza kuamini Yale Maneno ya kaocha aliefukuzwa kwa kutoa Maneno yasiyo na staha kwa mashabiki wa Yanga.

Hivi hamjui haya mashindano lengo lake ni kuwapa wachezaji Match Fitness? Na kuwaongezea wachezaji kujiamini kwenye mechi zijazo?

Tuache ujinga wa kifikra na kuzodoa kila jambo jema na lakimkakati linalofanywa na simba.

Kataeni basi na ushiriki wa timu 4 tutakazo zipata simba ikifanya vizuri. Nyau nyie.
Luc hakukosea kuwafananisha na nyani hawa Utopolo kwani wana viashiria vyote vya unyani hasa hii tabia ya kubong'oa bong'oa
FB_IMG_1586931024261.jpg
FB_IMG_1611053199150.jpg
FB_IMG_1610796811518.jpg
FB_IMG_1598960540393.jpg
 
Kweli lile lilikuwa bonanza! Mtu ana goli 2 kawa mfungaji bora.....!
 
Utopolo fc mna matatizo kiakili,
Kuna mchezaji yeyote aliyemzidi Morrison magoli?

Kuna golikipa mwingine aliyeruhusu goli chache Kama kakolanya?

Mbona mnaumizwa na vitu vya kujitakia?
 
Kama mnaona mna misuli Mazembe na Al Hilal walikuepo hapa mkajificha mpaka Azam kajiongeza kaomba game nyie mmelala tu.
 
Yanga walicheza mechi ya kirafiki na Singida United iliyoshuka hadi daraja la ngapi sijui, wakaifunga 3-0, kwani wanakatazwa kucheza mechi za kirafiki? Kama wao kipimo chao ni Singida United, Simba waliona kipimo chao ni TP Mazembe na Al Hilal
 
Utopolo fc mna matatizo kiakili,
Kuna mchezaji yeyote aliyemzidi Morrison magoli?

Kuna golikipa mwingine aliyeruhusu goli chache Kama kakolanya?

Mbona mnaumizwa na vitu vya kujitakia?
Ungetumia akili kidogo tu na kuacha kufikiri kama chura ungefahamu yafuatayo:
1.Mfungaji bora ni yule mwenye magoli mengi kupita wote. Ni namba si mere opinions
2. Golikipa bora ni kipa aliyeruhusu goli chache zaidi na ambaye amecheza mechi nyingi zaidi. Nazo ni namba si maoni hewa.
3. Mchezaji bora hutokana na timu bora iliyoshinda ama kuwa na matokeo chanya.
1) Swala la kipa bora haiangaliwi kigezo cha kuruhusu magoli machache kwasababu kuruhusu magoli machache kunaweza kutokana na mabeki kuwa imara kiasi kwamba timu pinzani wameshindwa kupiga mipira yenye madhara golini. Kipa bora anaangaliwa kwa kigezo cha idadi ya michomo ya hatari aliyookoa.

2) kwanini uongozi wa Simba haukuweka bayana juu ya zawadi za washindi zitakuwaje kabla hata ya michuano kuanza? Yaani inasubiriwa mpaka wamecheza mechi ya kwanza pasipo kujua zawadi zipoje
 
Yanga walicheza mechi ya kirafiki na Singida United iliyoshuka hadi daraja la ngapi sijui, wakaifunga 3-0, kwani wanakatazwa kucheza mechi za kirafiki? Kama wao kipimo chao ni Singida United, Simba waliona kipimo chao ni TP Mazembe na Al Hilal
Ute kama ute
 
team 1: point 4, goli 4
team 2: point 3, goli 3
team 3: pointi 1, goli 1

Simba siwaamini, nitawaamini kama watavuka makundi tu
 
Ushawahi kujitekenya mwenyewe mbele ya umati?

Yaani sijawahi kuona futuhi na comedy nzito kama hii walahi.

Simba Super Cup: BINGWA (Simba)

Mchezaji Bora wa Mashindano: Rally Bwalya (Simba)

Golikipa Bora: Beno Kakolanya (Simba)

Mfungaji Bora: Bernard Morrison (Simba)

Mchezaji bora mechi ya Fainali: Luis Miquissone (Simba)

AMA KWELI SISI SIMBA NI COMEDY
Wewe ulitaka mchezaji bora awe nani kwa mfano, uliona ile mechi ya jana au uliisikia tu redioni? Mechi ya kwanza Simba dhidi ya Al Shabaab (ile timu ya Sudan) Simba ndiyo ilitawala mchezo zaidi, Al Shabaab hawakuwa na mchezaji tishio pale. Hii ya jana Simba ndiyo ilikuwa kinara kwa kila idara, sasa ulitaka tuwachague wachezaji wanaopenda kucheza na viluilui pale Jangwani au?
 
team 1: point 4, goli 4
team 2: point 3, goli 3
team 3: pointi 1, goli 1

Simba siwaamini, nitawaamini kama watavuka makundi tu
Simba hawako kwa ajili ya kukuaminisha wewe Utopolo, wana malengo yao, watu wamecheza mpaka wengine kuumia wewe unaleta mazoea ya Utopolo?
 
Simba nawachukia sana, rangi yao nyekundu imejaa mauaji uaji tu
 
Naskia mazembe amekuwa mshnd wa pili ana point 1, alafu Al Hilal mshind wa tatu ana point 3
 
vip kuhusu media day unaweza kutuambia mana yake au ndio mnazipigia debe kalenda zenu na hiyo itaisaidia vip kikosi cha Yanga?
 
MBUMBUMBU kwenye ubora wao.....wanasema "lengo limefanikiwa"
 
Back
Top Bottom