kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Acha kuumia yanga mwakani itashiriki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ukiwa shabiki wa yanga akili huwa zinabaki wapi? nadhani ungekuja na tathmini kwamba mfungaji bora mmempa Morison wakati mchezaji fulani wa al-hila au tp mazembe anagoli 3, ai kiwango cha bwalya hukukiona???Ushawahi kujitekenya mwenyewe mbele ya umati?
Yaani sijawahi kuona futuhi na comedy nzito kama hii walahi.
Simba Super Cup: BINGWA (Simba)
Mchezaji Bora wa Mashindano: Rally Bwalya (Simba)
Golikipa Bora: Beno Kakolanya (Simba)
Mfungaji Bora: Bernard Morrison (Simba)
Mchezaji bora mechi ya Fainali: Luis Miquissone (Simba)
AMA KWELI SISI SIMBA NI COMEDY
Luc hakukosea kuwafananisha na nyani hawa Utopolo kwani wana viashiria vyote vya unyani hasa hii tabia ya kubong'oa bong'oaNaanza kuamini Yale Maneno ya kaocha aliefukuzwa kwa kutoa Maneno yasiyo na staha kwa mashabiki wa Yanga.
Hivi hamjui haya mashindano lengo lake ni kuwapa wachezaji Match Fitness? Na kuwaongezea wachezaji kujiamini kwenye mechi zijazo?
Tuache ujinga wa kifikra na kuzodoa kila jambo jema na lakimkakati linalofanywa na simba.
Kataeni basi na ushiriki wa timu 4 tutakazo zipata simba ikifanya vizuri. Nyau nyie.
Hapo umenena.Baada ya Yanga kuchukua Mapinduzi, Simba ikaona ni bora nayo ichukue kombe hata la mbao ili kuwafurahisha mashabiki wake.
Utopolo fc mna matatizo kiakili,
Kuna mchezaji yeyote aliyemzidi Morrison magoli?
Kuna golikipa mwingine aliyeruhusu goli chache Kama kakolanya?
Mbona mnaumizwa na vitu vya kujitakia?
1) Swala la kipa bora haiangaliwi kigezo cha kuruhusu magoli machache kwasababu kuruhusu magoli machache kunaweza kutokana na mabeki kuwa imara kiasi kwamba timu pinzani wameshindwa kupiga mipira yenye madhara golini. Kipa bora anaangaliwa kwa kigezo cha idadi ya michomo ya hatari aliyookoa.Ungetumia akili kidogo tu na kuacha kufikiri kama chura ungefahamu yafuatayo:
1.Mfungaji bora ni yule mwenye magoli mengi kupita wote. Ni namba si mere opinions
2. Golikipa bora ni kipa aliyeruhusu goli chache zaidi na ambaye amecheza mechi nyingi zaidi. Nazo ni namba si maoni hewa.
3. Mchezaji bora hutokana na timu bora iliyoshinda ama kuwa na matokeo chanya.
Ute kama uteYanga walicheza mechi ya kirafiki na Singida United iliyoshuka hadi daraja la ngapi sijui, wakaifunga 3-0, kwani wanakatazwa kucheza mechi za kirafiki? Kama wao kipimo chao ni Singida United, Simba waliona kipimo chao ni TP Mazembe na Al Hilal
Halija kick kama utopolo 😁 😁 😁Ute kama ute
Wewe ulitaka mchezaji bora awe nani kwa mfano, uliona ile mechi ya jana au uliisikia tu redioni? Mechi ya kwanza Simba dhidi ya Al Shabaab (ile timu ya Sudan) Simba ndiyo ilitawala mchezo zaidi, Al Shabaab hawakuwa na mchezaji tishio pale. Hii ya jana Simba ndiyo ilikuwa kinara kwa kila idara, sasa ulitaka tuwachague wachezaji wanaopenda kucheza na viluilui pale Jangwani au?Ushawahi kujitekenya mwenyewe mbele ya umati?
Yaani sijawahi kuona futuhi na comedy nzito kama hii walahi.
Simba Super Cup: BINGWA (Simba)
Mchezaji Bora wa Mashindano: Rally Bwalya (Simba)
Golikipa Bora: Beno Kakolanya (Simba)
Mfungaji Bora: Bernard Morrison (Simba)
Mchezaji bora mechi ya Fainali: Luis Miquissone (Simba)
AMA KWELI SISI SIMBA NI COMEDY
Simba hawako kwa ajili ya kukuaminisha wewe Utopolo, wana malengo yao, watu wamecheza mpaka wengine kuumia wewe unaleta mazoea ya Utopolo?team 1: point 4, goli 4
team 2: point 3, goli 3
team 3: pointi 1, goli 1
Simba siwaamini, nitawaamini kama watavuka makundi tu
Akili za kiccm zimekaa kimakalio makalio tuSimba nawachukia sana, rangi yao nyekundu imejaa mauaji uaji tu