Sijawahi kuona mchawi mrefu

Yani "sisi" watu wafupi tunaonewa kila engo.Kila jambo baya ni "sisi" wafupi.Tutampata wapi wakili msomi afungue shauri la malalamiko mahakamani?😂😂😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sure aisee,.

Mara nyingi nikiskiaga kuwa yule mama mchawi, huwa nawaonao ni wale wafupi tu. Kweli kabisa..jamaa hujakosea
 
Yani "sisi" watu wafupi tunaonewa kila engo.Kila jambo baya ni "sisi" wafupi.Tutampata wapi wakili msomi afungue shauri la malalamiko mahakamani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakili wa morrison anaweza kuwasaidia mtafuten
 
Kuna kabibi kamoja kalipohama nilipopanga,nilishangilia sana,ukikaangalia kafupi kama Messi na mda wote kameinamisha kichwa chini.Ila usiku kazi kuchoma ubani na kupaa usiku,ukikazingua tu usiku lazima kaje kukupiga roba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…