Sijawahi kuona mke akitoa siri za mumewe kuwa ana show mbovu au kibamia

Sijawahi kuona mke akitoa siri za mumewe kuwa ana show mbovu au kibamia

Kwa hiyo hizi habari za wanaume wanakibamia, hawana nguvu za kiume ndio maana wake zao wanachepuka n.k zinavujaje?
 
ilaa mkikaa nyinyi kwa nyinyi mfano mabest walioshibana unaweza kumteta bebe wako
Na ndio hapo zinapovujia, napo ni 0.11%, sio mar nying anaweza kumteta kwa ishu nyeti kma iyo
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Ila wanaume ndo tunaongoza kwa kutokua na siri, wanawake sijui wan moyo gani, wabarikiwe kwa kweli wanakufa na siri zenu nyie show mbovu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulishawah kukaa saluni za kike?.

ushawah kufuatilia maongez kati ya huyo mwenzi wako na rafiki zake?

Itoshe kusema hivi... Unayajua maongezi ya kiumeni kwa sababu unakuwepo kwenye makundi ya kiume.

Maongezi ya kike huwez kuyajua mpaka pale utakapoamua kuungana nao, mkae mpige stori.
 
Naona kabisa swala la haki sawa unalizingatia,,, msalimie shemela.
 
Back
Top Bottom