Sijawahi kuona mke akitoa siri za mumewe kuwa ana show mbovu au kibamia

Sijawahi kuona mke akitoa siri za mumewe kuwa ana show mbovu au kibamia

Ila wanaume ndio tunaongoza kwa kutokua na siri, wanawake sijui wana moyo gani, wabarikiwe kwa kweli wanakufa na siri zenu nyie show mbovu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndoa zina miiko, hata ukisema hakuna atakaekusaidia ni suala la kujadiliana na mume wako na kuwekana sawa pale ambapo pana mapungufu
 
Wadangaji, wasio na misimamo na malaya kisingizio chao cha kuchepuka mara nyingi ni hizo. Wasiposema kwa wanawake wenzao basi kwa mwanaume anayechepuka nae.
 
Wadangaji, wasio na misimamo na malaya kisingizio chao cha kuchepuka mara nyingi ni hizo. Wasiposema kwa wanawake wenzao basi kwa mwanaume anayechepuka nae.
Kabisa, na wengi wanaona malaya. Mwanamke wa kawaida tu hawezi kuropoka huo upuuzi. Kwanza anaona haya vibaya sana.
 
Back
Top Bottom