kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Sijawahi ona simu yoyote ya Google pixel au Aquos au brand nyingi za kimarekani au kijapani zikisoma 5G hapa bongo
Kama kuna mtu anatumia simu tajwa hapo na inapanda hadi kuweka nembo ya 5G au neno 5G juu ya screen yake basi aweke screenshot aniumbue hapa
Ukweli wa hizo simu mwisho wa network niloona ni LTE karibia zote nilizowahi kuziona 5G yao kibongobongo hamna labda huko nchi zao ila kwa hapa sijawah kuona