kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
- Thread starter
- #41
Kabisa
Mimi Ni user wa Pixel Phone, Izi simu kwa Bongo ni kama hazipandishi 5G ila ukiwa Nje inapandisha kutegemea na Eneo, Niliwahi Kuwa Nchi fulani na Ilikuwa inapandisha 5G, Ila kwa uzoefu wangu Hizi Pixel nyingi hazikuwa designated kuja Bongo ndio mana unakuta zina some restrictions hata VOlte tu nyingi unaona kama hazina mpaka unlock ndio utapata Volte kwa wale wenye Carrier providers wanao support VOLTE