Sijawahi kuona simu yoyote ya Google Pixel au Aquos ikisoma 5G hapa Tanzania

Sijawahi kuona simu yoyote ya Google Pixel au Aquos ikisoma 5G hapa Tanzania

Utakua umeongea kwa kuropoka mi nipo dukani kabisa nauza hizo simu mkuu.
Tuma screen shoot ya 5g basi, mtoa mada yuko sahihi google pixel hazisapoti 5g Tanzania sijui inchi zingine huko.
 

Attachments

  • Screenshot_20241127_124023.jpg
    Screenshot_20241127_124023.jpg
    147.3 KB · Views: 7
Mimi Ni user wa Pixel Phone, Izi simu kwa Bongo ni kama hazipandishi 5G ila ukiwa Nje inapandisha kutegemea na Eneo, Niliwahi Kuwa Nchi fulani na Ilikuwa inapandisha 5G, Ila kwa uzoefu wangu Hizi Pixel nyingi hazikuwa designated kuja Bongo ndio mana unakuta zina some restrictions hata VOlte tu nyingi unaona kama hazina mpaka unlock ndio utapata Volte kwa wale wenye Carrier providers wanao support VOLTE
 
Je unatumia simu gani?

Unatumia mtandao gani?

Upo eneo gani?

Je kifaa chako kinasupport 5g?

Haya ndo mambo ya msingi mkuu,huwezi kua MCHAMBAWIMA alafu unataka 5g
Nubia Z60 ultra. Nipo dar. I majibu mengine yote yapo kwenye picture.
 
Back
Top Bottom